Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


James Rodriguez asainishwa na Real Madrid kwa dau la £60m

Real Madrid wamekubali kumsainisha mshindi wa kiatu cha dhahabu katika kombe la dunia lililomalizika hivi karibuni nchini Brazi, James Rodriguez kutoka Monaco. Mchezaji huyo wa Colombia amesaini mkataba wa miaka sita na timu hiyo na alifanyiwa vipimo Jumanne hii. Nipo sawa Madrid imelipa dau la £60million, na kuufanya uhamisho wa Rodriguez kushika nafasi ya nne […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MPACHIKA MABAO JAMES RODRIGUEZ ATUA REAL MADRID

James Rodriguez akifanyiwa vipimo mjini Madrid kujiunga na Real Madrid. Rodriguez wakati akitoka hospitali mjini Madrid baada ya kukamilisha vipimo.…

 

11 years ago

GPL

BAADA YA KROOS, REAL MADRID KUMNASA RODRIGUEZ

Mfungaji bora wa Kombe la Dunia 2014, James Rodriguez.
KLABU ya Real Madrid inakaribia kumnasa mfungaji bora wa Kombe la Dunia 2014, James Rodriguez, kwa pauni milioni 63 kutoka Monaco. Toni Kroos tayari ametua Real Madrid kwa pauni milioni 24. Klabu hiyo ya Hispania, leo imekamilisha usajili wa kiungo wa Ujerumani na Bayern Munich, Toni Kroos, kwa pauni milioni 24 kwa mkataba wa miaka sita. Ili… ...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Madrid waongeza dau kwa Di Maria

http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2733033/Angel-Di-Maria-cost-Manchester-United-75m-Real-Madrid-raise-asking-price-midfielder.html

 

11 years ago

Michuzi

James Rodriguez aipeleka Colombia robo fainali kwa goli la mwaka

Colombia imepeleka mashabiki wake wanaovutia kwa ushangiliaji wao hadi kwenye robo fainali za kombe la Dunia baada ya nyota wake James Rodriguez akifunga mabao yote. Colombia waliifunga Uruguay ya mng’ata meno Suarez bao 2-0 katika mchezo wao wa raundi ya 16 kweny uwanja wa Maracana jijini Rio de Janeiro jana.

Angalia goli la mwaka la Rodriguez ambalo ni tamu sana kiasi hata huchoki kuangalia. Huku goli la adui likiwa nyuma yake, kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 kwanza aliweka gambani...

 

9 years ago

Mtanzania

James Rodriguez: Barcelona hawatusumbui

maxresdefaultMADRID, HISPANIA

BAADA ya Real Madrid kupokea kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Sevilla, mshambuliaji wa timu hiyo, James Rodriguez, amesema kuwa hawana wasi wasi na mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya wapinzani wao, Barcelona.

Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu, ambapo utakuwa El Clasico ya kwanza msimu huu wapinzani hao kukutana.

Barcelona kwa sasa wanaongoza katika msimamo wa Ligi nchini Hispania baada ya juzi kushinda mabao 3-0 dhidi ya Villarreal, wakati Madrid ikiambulia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Naimarika zaidi Madrid: Rodriguez

Wakati Real Madrid leo wakitarajiwa kushuka dimbani dhidi ya Fc Basel James Rodriguez atamba.

 

5 years ago

Bongo5

Real Madrid na Atletico Madrid zimefuzu hatua ya nusu fainali Champions League

Ligi ya klabu bingwa Ulaya msimu huu imefikia kikomo baada ya klabu ya Leicester City ya Uingereza kutoka sare na Atletico Madrid uwanjani King Power.

Leicester wameondolewa katika hatua ya robo fainali baada ya sare hiyo ya 1-1 huku wakiwa wamefungwa 1-0 kwenye mechi ya mkondo wa kwanza.

Mchezaji wa Atletico Madrid, Saul Niguez alifunga bao kwa kichwa dakika ya 26.

Hii lilikuwa na maana kwamba walihitaji mabao matatu kipindi cha pili ili kufanikiwa kusonga.

Jamie Vardy alikomboa bao moja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani