NANI KWENDA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO, NI BINGWA MTETEZI REAL MADRID AU ATLETICO MADRID
![](http://3.bp.blogspot.com/--MeDKWNmFFA/VTeVpbsP0bI/AAAAAAAA7R4/iK3NDHWLNKc/s72-c/A%2B1.jpg)
Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti ( mwenye kofia ) akifuatilia mazoezi ya wachezaji wake kabla ya kurudiana na Atletico Madrid leo usiku.
Wachezaji wa Real Madrid ( kutoka kushoto kwenda kulia ) Daniel Carvajal, Marcelo Vieira na Sami Khedira wakijifua tayari kuwakabili wapinzani wao Atletico Madrid leo usiku.
Baada ya mchezo watakumbatiana hivi!!! Kocha wa Real Madrd Carlo Ancelotti( kushoto ) akiwa na kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone.
Robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/M2P*yMJoo7Pn7M1OGSkAGoIGPDhViaKxIy9GPczHEqR6bYwnUTRseCl96Fv5ghKyc7sbpoA23-WmW2PCaoKlzeBDvjGAe7nR/11196281_857746947606789_5942769308394402141_n.jpg?width=750)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t08dki1KeXzNtALqBToEdSZsrVZeM4Ra7si6zwmwakhg*FU6bEdpHc6F2RJqc6WW1Nq9U*xqDdAyPJZ51-PkFXFV3xsR1*C9/1.jpg)
ATLETICO MADRID YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
5 years ago
Bongo514 Feb
Real Madrid na Atletico Madrid zimefuzu hatua ya nusu fainali Champions League
Ligi ya klabu bingwa Ulaya msimu huu imefikia kikomo baada ya klabu ya Leicester City ya Uingereza kutoka sare na Atletico Madrid uwanjani King Power.
Leicester wameondolewa katika hatua ya robo fainali baada ya sare hiyo ya 1-1 huku wakiwa wamefungwa 1-0 kwenye mechi ya mkondo wa kwanza.
Mchezaji wa Atletico Madrid, Saul Niguez alifunga bao kwa kichwa dakika ya 26.
Hii lilikuwa na maana kwamba walihitaji mabao matatu kipindi cha pili ili kufanikiwa kusonga.
Jamie Vardy alikomboa bao moja...
10 years ago
Mwananchi09 Mar
Ligi ya Mabingwa Ulaya: Real Madrid yanusa robo fainali
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-uhn1b_AK3gA/VVQkX700JjI/AAAAAAAA9Q4/vFLb8yqQ3Fw/s72-c/A%2B1.jpg)
TIMU YA JUVENTUS YATINGA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA BAADA YA KUIONDOSHA REAL MADRID
![](http://3.bp.blogspot.com/-uhn1b_AK3gA/VVQkX700JjI/AAAAAAAA9Q4/vFLb8yqQ3Fw/s640/A%2B1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Zvv8zqEqEiw/VVQkZFXEmvI/AAAAAAAA9RQ/WsW49dSq26s/s640/A%2B6.jpg)
Katika mchezo huo wa marudiano wa hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya, Juventus imesonga mbele kwa idadi ya mabao 3-2. Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Italia, Juventus iliifunga Real Madrid magoli 2-1.
![](http://3.bp.blogspot.com/--526uyMMmdw/VVQkX8kN2lI/AAAAAAAA9Q8/P-X5PEqM-qQ/s640/A%2B2.jpg)
11 years ago
Mwananchi01 May
Ni Atletico, Real Madrid fainali
5 years ago
BBCSwahili26 Feb
Real Madrid v Man City: Kwanini Pep Guardiola huenda akafanya maaajabu katika Ligi ya Mabingwa Ulaya
11 years ago
BBCSwahili01 May
Atletico na Real Madrid katika fainali