VODACOM YAITAKIA HERI TANZANIA ELEVEN DHIDI YA MADRID
![](http://api.ning.com:80/files/p1hCpNEYWCI1cvFw81eYmYuTPVsYnqzFpbuUQFZWDA9AgpKuqpSNS1FeLDwhUzGkJWi*3tbp0EFofj0XQVXlyex84D6zBahd/MADRID.jpg?width=650)
Kikosi cha wachezaji 33 kilichotangazwa na Kocha Charles Boniface Mkwassa kuunda timu ya TSN Tanzania Eleven kimetakiwa kucheza kwa kujituma ili kulinda heshima kwa Tanzania katika mchezo wao dhidi ya nyota wa zamani wa timu ya Real Madrid. Hayo yamesemwa na Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim ambao ni wadhamini wa mechi hiyo muda mfupi baada ya kutajwa kwa kikosi hicho ambacho kinatarajiwa kujikusanya mapema wiki...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/k597Gy8eW*WZTP0W8kQEIhQB8ECboY5m923pwiPu8H3PUKjJBm7CRS1Gc8ojkz867qE8UB7TWPGPOQPQ-0KWj4cMHqb*gcnL/nyota.jpg)
Nyota Tanzania Eleven waapa kuichakaza Madrid
10 years ago
GPLTANZANIA ELEVEN HOI KWA WAKONGWE WA REAL MADRID
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-CK8HNUcVQ8E/U_jAWs8eDZI/AAAAAAABKCo/4iR14woat80/s72-c/3.jpg)
MAGWIJI WA REAL MADRID WAIFUMUA TANZANIA ELEVEN MABAO 3-1 UWANJA WA TAIFA LEO
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAMMSHAMBULIAJI Reuben de La Red amefunga mabao matatu peke yake, magwiji wa Real Madrid wakiiangusha Tanzania Eleven 3-1 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
De la Red alimfunga bao moja Mwameja Mohamed kipindi cha kwanza na kipindi cha pil akamtungua mara mbili Manyika Peter, wakati bao pekee la Stars, Real walijifunga wenyewe kupitia kwa Roberto Rojas.
Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alimkabidhi mpira De La Red baada ya mechi kabla ya...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JWVmD*3ooUcet2swCQ652IOo6PJoMbX0oApFA*1YeqwrNk-*52xZ9eG1VUr2liIUnA91fHUqsLlFhmsl0EP0tvuCTsZxFgKM/001.Ferrao.jpg?width=650)
VODACOM YAZITAKIA KILA LA HERI TIMU ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU TANZANIA BARA
10 years ago
MichuziNGOMA AFRICA BAND YAITAKIA MSONDO NGOMA BAND HERI YA MIAKA 50 !
![](http://4.bp.blogspot.com/-ORf9Gn6TFdU/VBIA8eWjFyI/AAAAAAAGjAQ/QMKp6Yj33Lc/s1600/download.jpg)
Kiongozi wa Ngoma Africa band Kamanda Ras Makunja, anaitaja bendi ya Msondo Ngoma ndiyo...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s72-c/001.Ferrao.jpg)
WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s640/001.Ferrao.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3rPnvKAR8Ko/VfJghZutsEI/AAAAAAAH39A/NbQnv8YM4SA/s640/002.Ferrao.jpg)
Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qxLZZri3zyU/Vco8yXfpqSI/AAAAAAAHwHw/8-7huTseWEY/s72-c/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
VODACOM TANZANIA YAPATA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA/Vodacom Tanzania Announces New Managing Director
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Real Madrid waibuka na ushindi wa goli 10-2 dhidi ya Rayo Vallecano, Cheki Video ya magoli (+Pichaz)
Baada ya wapinzani wao wa jadi FC Barcelona kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya River Plate ya Argentina katika fainali ya Klabu Bingwa Dunia, Real Madrid wameamishia hasira zao katika mchezo wa Ligi Kuu Hispania dhidi ya klabu ya Rayo Vallecano. Real Madrid walikuwa katika dimba lao la nyumbani la Santiago Bernabeu huku […]
The post Real Madrid waibuka na ushindi wa goli 10-2 dhidi ya Rayo Vallecano, Cheki Video ya magoli (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.