Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri waapa bila shamrashamra

Halikuwa jambo la kawaida wakati hafla ya kuapishwa kwa mawaziri 30 Ikulu Dar es Salaam jana ilipofanyika kwa dakika 60, bila ya kuwapo kwa shamrashamra za aina yoyote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Watafukuzwa mawaziri wote bila kupata tiba

Katika kampeni za Uchaguzi Mkuu, tangu mwaka 2000 na 2010, nilipata bahati ya kuhudhuria baadhi ya mikutano ya kampeni za wagombea wa urais karibu wa vyama vyote.

 

11 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bila afungua mkutano wa tatu wa Baraza la Mawaziri wa nchi za maziwa makuu na nchi majirani za umoja wa kudhibiti Silaha ndogo (RECSA)

02

kamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Maalum wa tatu wa Baraza la Mawaziri wa Nchi za Maziwa Makuu na Nchi Majirani zinazounda Umoja wa kudhibiti Silaha ndogo (RECSA), uliofanyika leo mchana kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Umoja huo unaundwa na nchi 15 ambazo  ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Ethiopia, Somalia, Sudan, Sudan Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILA AFUNGUA MKUTANO WA TATU WA BARAZA LA MAWAZIRI WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU NA NCHI MAJIRANI ZA UMOJA WA KUDHIBITI SILAHA NDOGO (RECSA).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Maalum wa tatu wa Baraza la Mawaziri wa Nchi za Maziwa Makuu na Nchi Majirani zinazounda Umoja wa kudhibiti Silaha ndogo (RECSA), uliofanyika leo mchana kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Umoja huo unaundwa na nchi 15 ambazo ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Ethiopia, Somalia, Sudan, Sudan Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),...

 

10 years ago

Habarileo

Wazee waapa kuacha ukeketaji

WAZEE wa kimila kutoka koo zote za kabila la Wakurya wilayani Tarime, wamekubaliana mbele ya Mkuu wa wilaya Tarime, John Henjewele, kuacha kukeketa watoto wa kike.

 

10 years ago

Habarileo

Wakurugenzi waapa kuzuia vifo

WAKURUGENZI wa halmashauri katika mkoa wa Rukwa wamelishwa kiapo kuhakikisha katika wilaya zao hapatokei kifo cha mama na mtoto wakati wa kujifungua.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ukawa waapa kulinda kura

katibu mkuu wa Chadema, John Mnyika BEATRICE SHAYO 4th October 2015 Kaimu katibu mkuu wa Chadema, John Mnyika akizungumza na waandishi wa bahari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Tume ya Taifa ya […]

The post Ukawa waapa kulinda kura appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

GPL

MTITU, STEVE NYERERE WAAPA KUTOZIKANA!

Brighton masalu
WASANII William Mtitu na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wamejiapiza kuwa wasizikane ikitokea mmoja kati yao akafariki dunia huku chanzo ni kila mmoja kumtuhumu mwenzake kwa unafiki. Msanii wa filamu Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Wakizungumza na Amani kwa nyakati tofauti juzi, wawili hao wameapa wasijuane kwa hali yoyote iwe kwa matatizo kama mmoja wao kufiwa au yeye kufariki dunia,...

 

9 years ago

Mtanzania

Masheikh waapa kuiadhibu CCM kesho

2NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM.

KAMATI ya Masheikh na Maimamu wa Mkoa wa Dar es Salaam, wamewataka waamini wa dini ya Kiislamu na Watanzania kwa ujumla kuhakikisha wanampigia kura na kumchagua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ili kuweza kuleta mabadiliko ya kweli nchini.

Kauli hiyo ilitolewa jana wakati masheikh hao wakiwajibu wenzao wa Mwanza ambao Oktoba 17 katika kuadhimisha sherehe za mwaka mpya wa Kiislamu walikaririwa wakimtaja Lowassa kuwa...

 

11 years ago

Habarileo

UVCCM waapa kuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar

Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu ShakaJUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imesema itaendelea kuyalinda na kuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 huku wakiwaasa wapinga mapinduzi kuwa wananchi wa Zanzibar, hawatakubaliani na hoja yao hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani