Watafukuzwa mawaziri wote bila kupata tiba
Katika kampeni za Uchaguzi Mkuu, tangu mwaka 2000 na 2010, nilipata bahati ya kuhudhuria baadhi ya mikutano ya kampeni za wagombea wa urais karibu wa vyama vyote.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema16 Dec
10 years ago
BBCSwahili07 May
Ufisadi: Mawaziri wote kujiuzulu Chile
5 years ago
CCM BlogSERIKALI ITASHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA WATANZANIA WOTE BILA YA UBAGUZI-MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Ramadhani Hamadi mkazi wa Dar es Salaam aliyelazwa katika Zahanati ya Nandagala wilayani Ruangwa wakati alipotembelea Zahanati hiyo, Juni 24, 2020. (Picha na Ofisi ya...
5 years ago
BBCSwahili19 Apr
Virusi vya corona: Juhudi za kupata tiba zimefikia wapi?
9 years ago
Mwananchi13 Dec
Mawaziri waapa bila shamrashamra
10 years ago
Mtanzania15 Apr
Maya: Nami nazeeka bila kupata mtoto
NA RHOBI CHACHA
BAADA ya mwigizaji Wema Sepetu kuweka wazi juu ya masikitiko yake ya kutopata mtoto licha ya kumtafuta kwa muda mrefu, mwigizaji mwingine wa Bongo Movie, Mayasa Mrisho ‘Maya’ naye ameibuka na kudai kwamba anazeeka bila kupata mtoto.
Maya alisema wasanii wenzake wana watoto na wengine wajawazito, lakini yeye bado hajabarikiwa kupata mtoto, jambo linalompa hofu ya kuzeeka bila mtoto.
“Nazeeka bila mtoto wa kumzaa, hapa namuomba Mungu aniwezeshe na kunifungulia uzazi niweze...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Utafiti: Kulala bila nguo kunapunguza uwezekeno wa kupata kisukari
5 years ago
MichuziDC Msafiri,haipiti siku moja Njombe bila kupata matukio 6-12 ya ukatili
Mkuu wa wilaya ya Njombe mkoani humo Ruth Msafiri amesema haiwezi kupita siku moja mkoani Njombe bila kupata matukio ya ukatili yanayojumuisha ukatili wa kingono yasiyopungua 6-12 hali inayoweza kusababisha mkoa huo kuwa na matukio mengi ya ukatili kwa mwaka.
Ruth Msafiri ameyasema hayo mjini Makambako mkoani Njombe wakati wa msafara wa kutokomeza unyanyasaji wa kijinsia unaopita karibu mikoa yote nchini kutoa elimu kwa wananchi kwa lengo la kuleta usawa wa...