Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maya: Nami nazeeka bila kupata mtoto

NA RHOBI CHACHA
BAADA ya mwigizaji Wema Sepetu kuweka wazi juu ya masikitiko yake ya kutopata mtoto licha ya kumtafuta kwa muda mrefu, mwigizaji mwingine wa Bongo Movie, Mayasa Mrisho ‘Maya’ naye ameibuka na kudai kwamba anazeeka bila kupata mtoto.
Maya alisema wasanii wenzake wana watoto na wengine wajawazito, lakini yeye bado hajabarikiwa kupata mtoto, jambo linalompa hofu ya kuzeeka bila mtoto.
“Nazeeka bila mtoto wa kumzaa, hapa namuomba Mungu aniwezeshe na kunifungulia uzazi niweze...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Watafukuzwa mawaziri wote bila kupata tiba

Katika kampeni za Uchaguzi Mkuu, tangu mwaka 2000 na 2010, nilipata bahati ya kuhudhuria baadhi ya mikutano ya kampeni za wagombea wa urais karibu wa vyama vyote.

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti: Kulala bila nguo kunapunguza uwezekeno wa kupata kisukari

Utafiti mpya uliotolewa nchini Marekani, umebainisha kuwa watu wanaopenda kulala bila nguo wanapata faida nyingi ikiwamo ya kuwa na uwezekano mdogo wa kupata ugonjwa wa kisukari.

 

5 years ago

Michuzi

DC Msafiri,haipiti siku moja Njombe bila kupata matukio 6-12 ya ukatili

Na Amiri Kilagalila, Njombe
Mkuu wa wilaya ya Njombe mkoani humo Ruth Msafiri amesema  haiwezi kupita siku moja mkoani Njombe bila kupata matukio ya ukatili yanayojumuisha ukatili wa kingono yasiyopungua 6-12  hali inayoweza kusababisha mkoa huo kuwa na matukio mengi ya ukatili kwa mwaka.

Ruth Msafiri ameyasema hayo mjini Makambako mkoani Njombe wakati wa msafara wa kutokomeza unyanyasaji wa kijinsia unaopita karibu mikoa yote nchini  kutoa elimu kwa wananchi kwa lengo la kuleta usawa wa...

 

5 years ago

CCM Blog

RITA: WATOTO CHINI YA MIKA MITANO KUPATA VYETI BILA MALIPO

Na Muhadh Mohammed, Songea Ruvuma.

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme, amemtaka wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) na wakuu wa wilaya zinazopakana na Nchi jirani kuhakikisha wanawadhibiti watoto walio na umri chini ya miaka mitano ambao sio raia wa Tanzania kuingizwa kwenye mpango wa usajili wa vizazi utakaoanza mapema mwaka huu.

Mndeme alitoa rai hiyo jana wakati alipokuwa akifungua warsha ya viongozi wa wilaya na mkoa wa Ruvuma kuhusu usajili wa vizazi kwa watoto wa umri wa...

 

10 years ago

Michuzi

makala ya sheria: USINUNUE KIWANJA/NYUMBA YA MIRATHI BILA KUPATA FOMU HII.



Na Bashir YakubNimeandika makala nyingi kuhusu namna  ya kisheria ya kuepuka  kununua nyumba/viwanja  vyenye  migogoro kwakuwa  migogoro ya vitu hivi inaumiza sana. Waliokutana na migogoro hii wanajua  vyema ninaongea nini. Katika mwendelezo wa kumuepusha mnunuzi  na janga hili, leo tena tuangalie taratibu za ununuzi wa nyumba/kiwanja cha  mirathi. Nataka ieleweke vyema kuwa taratibu za manunuzi ya nyumba/kiwanja  zinatofautiana. Tofauti kubwa  ni za kisheria hasa  namna ya uandishi wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto azaliwa bila pua

''Alipozaliwa daktari alimweka kifuani mwangu. Nilipomwangalia kwa karibu, nilisema ' Hana pua'. Walimchukua na kutoka naye.

 

11 years ago

Habarileo

‘Mtoto anayebakwa atibiwe bila malipo’

SERIKALI imeelekeza mtoto anayeshambuliwa ama kubakwa na kupata madhara kutokana na ukatili wa aina yoyote, akifikishwa hospitalini apatiwe matibabu kwanza bila kudaiwa fedha yoyote. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid alisema hayo jana Dar es Salaam .

 

10 years ago

GPL

MTOTO AZALIWA BILA UBONGO WA NYUMA!

Na Haruni Sachawa
NImaajabu! Mwanamke mmoja, Diana Dioniz  mkazi wa Magomeni Makuti jijini Dar es Salaam, ameangua kilio cha kuomba msaada baada ya mtoto wake aliyezaliwa mwaka mmoja uliopita kugundulika kuwa hana ubongo wa nyuma (medulla oblongata), hali inayosababisha shingo kulegea na macho kutoona. Mtoto anayedaiwa kuzaliwa bila ya ubongo wa nyuma(medulla oblongata). Akizungumza na gazeti hili nyumbani kwake, Diana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani