RITA: WATOTO CHINI YA MIKA MITANO KUPATA VYETI BILA MALIPO
Na Muhadh Mohammed, Songea Ruvuma.
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme, amemtaka wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) na wakuu wa wilaya zinazopakana na Nchi jirani kuhakikisha wanawadhibiti watoto walio na umri chini ya miaka mitano ambao sio raia wa Tanzania kuingizwa kwenye mpango wa usajili wa vizazi utakaoanza mapema mwaka huu.
Mndeme alitoa rai hiyo jana wakati alipokuwa akifungua warsha ya viongozi wa wilaya na mkoa wa Ruvuma kuhusu usajili wa vizazi kwa watoto wa umri wa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-RAWURq6FRAU/VUi5nEa0cFI/AAAAAAAAAWs/pZ9QIWfvWto/s72-c/DSC_0402.jpg)
ANDIKISHENI WATOTO WAWEZE KUPATA VYETI VYA KUZALIWA - RITA
Hayo yamesemwa na Meneja masoko Mawasiliano na Elimu kwa Umma wa RITA Josephat Kimaro wakati akizungumza na wandishi wa habari katika ukumbi wa Habari MAELEZO leo jijini Dar es Salaam.
Kimaro amesema kuwa wananchi wajue umhimu wa cheti cha kuzaliwa kwani Cheti cha...
10 years ago
MichuziWATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO KUSAJILIWA NA KUPEWA VYETI BURE MKOANI MWANZA
Mkuu wa wilaya hiyo akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Magesa Stanslaus Mulongo kama Mgeni rasmi katika Uzinduzi huo ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi katika...
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Wananchi watakiwa kujitokeza kwenye kambi ya kupima Afya bila malipo kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5
Mkurugenzi Mtendaji wa Kliniki ya kimataifa ya afya ya uzazi kwa baba, mama, mtoto na vijana (AMM), Dk Ali Mzige (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Kambi ya kupima afya bila malipo kwa watoto wadogo, itakayofanyika Jumapili ya Machi 8 mwaka huu. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa umoja wa jamii ya watu kutoka India Bengali waliopo hapa Tanzania, BANGO SANGHO, Amit Nandy na kulia ni mwakilishi wa shule ya Kibugumu, Mwalimu Mzamili Ally.
Na Andrew Chale modewji...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/DSCN9215.jpg)
WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KWENYE KAMBI YA KUPIMA AFYA BILA MALIPO KWA WATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 5
9 years ago
MichuziZAIDI YA WATOTO MILIONI 3.1 WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO HUFARIKI DUNIA KILA MWAKA HUKU WENGINE MILIONI 161 KUPATA MATATIZO YA KUDUMAA MWILI
10 years ago
StarTV10 Feb
Serikali yafanikiwa kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano
Na Wilson Elisha,
Mwanza
Kupungua kwa vifo vya watoto wenye umri chini ya miaka mitano kutoka vifo 147 mwaka 1999 hadi kufikia vifo 54 mwaka 2013 kwa kila vizazi hai 1, 000 kunatokana na juhudi za serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo na sekta binafsi katika sekta ya afya.
Hali hiyo imechangia kufikia lengo la maendeleo ya Milenia namba nne la kupunguza vifo vya wanawake wajawazito na watoto wachanga kwa kasi zaidi kupitia mpango wa matokeo makubwa sasa katika sekta ya...
11 years ago
GPL5 years ago
MichuziWAZAZI WANAPASWA KUFUATILIA MIENENDO YA WATOTO WAO WALIO CHINI YA MIAKA MITANO KUEPUSHA HATARI INAYOWEZA KUWAKABILI.
Daktari wa watoto katika Hospitali ya Taifa ya Mloganzila, Lucy Mpayo amesema kuwa, ulinzi wa watoto walio chini ya miaka mitano unaanzia kwa mzazi/ mlezi na jamii kwa ujumla.
Dk. Lucy amesema kuwa, watoto hao wanapaswa kuangaliwa kwa ukaribu kwa sababu uwezo wao wa kujilinda bado ni mdogo na kwamba hawawezi kupambana na hatari yoyote inayojitokeza dhidi yao.
Amesema kuwa, kutokana na hali hiyo, wazazi,walezi na jamii kwa ujumla wanapaswa kuwalinda watoto hao hali ambayo...
10 years ago
VijimamboMIAKA MITANO YA MAX MALIPO
![](http://1.bp.blogspot.com/-Yf2fRcxffOA/VHhr01G_fYI/AAAAAAAAryo/if-wV2bHBWA/s1600/1.%2BMkurugnezi%2BMkuu%2Bwa%2BMaxCom%2BAfrica%2C%2BJuma%2BRajabu%2B%2Bna%2BRichard%2BChagula%2Bwa%2BManispaa%2Bya%2BKinondoni%2Bwakikata%2Butepe%2Bkuzindua%2Bmuonekano%2Bmpoya%2Bwa%2BMax%2BMalipo.jpg)
Mkurugnezi Mtendaji wa Kampuni ya Kitanzania ya MaxCom Africa, inayotoa huduma za Max Malipo, Juma Rajabu na Mwakilishi wa Manispaa ya Kinondoni, Richard Chagula wakikata utepe kuzindua muonekano mpya wa huduma ya Max Malipo, katika hafla iliyokutanisha uongozi wa kampuni hiyo ya Jukwaa la Wahariri, leo katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
![](http://4.bp.blogspot.com/-JWFKiLGb0X0/VHhr4AuDCSI/AAAAAAAArzQ/ZlYmNMVgVQ0/s1600/2.%2BMkurugnezi%2BMkuu%2Bwa%2BMaxCom%2BAfrica%2C%2BJuma%2BRajabu%2Bakizindua%2Bmuonekano%2Bmpya%2Bwa%2Bhuduma%2Bya%2BMax%2BMalipo.jpg)