WAZAZI WANAPASWA KUFUATILIA MIENENDO YA WATOTO WAO WALIO CHINI YA MIAKA MITANO KUEPUSHA HATARI INAYOWEZA KUWAKABILI.
PATRICIA KIMELEMETA
Daktari wa watoto katika Hospitali ya Taifa ya Mloganzila, Lucy Mpayo amesema kuwa, ulinzi wa watoto walio chini ya miaka mitano unaanzia kwa mzazi/ mlezi na jamii kwa ujumla.
Dk. Lucy amesema kuwa, watoto hao wanapaswa kuangaliwa kwa ukaribu kwa sababu uwezo wao wa kujilinda bado ni mdogo na kwamba hawawezi kupambana na hatari yoyote inayojitokeza dhidi yao.
Amesema kuwa, kutokana na hali hiyo, wazazi,walezi na jamii kwa ujumla wanapaswa kuwalinda watoto hao hali ambayo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo31 Dec
Wazazi wahimizwa kufuatilia watoto wao
WAZAZI wametakiwa kufuatilia nyendo za watoto ili kudhibiti kuporomoka kwa maadili kunakosababishwa na utandawazi.
5 years ago
BBCSwahili03 Mar
Virusi vya Corona: Wazazi wanapaswa kuwaambia ukweli watoto wao
10 years ago
StarTV10 Feb
Serikali yafanikiwa kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano
Na Wilson Elisha,
Mwanza
Kupungua kwa vifo vya watoto wenye umri chini ya miaka mitano kutoka vifo 147 mwaka 1999 hadi kufikia vifo 54 mwaka 2013 kwa kila vizazi hai 1, 000 kunatokana na juhudi za serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo na sekta binafsi katika sekta ya afya.
Hali hiyo imechangia kufikia lengo la maendeleo ya Milenia namba nne la kupunguza vifo vya wanawake wajawazito na watoto wachanga kwa kasi zaidi kupitia mpango wa matokeo makubwa sasa katika sekta ya...
10 years ago
MichuziWATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO KUSAJILIWA NA KUPEWA VYETI BURE MKOANI MWANZA
Mkuu wa wilaya hiyo akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Magesa Stanslaus Mulongo kama Mgeni rasmi katika Uzinduzi huo ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi katika...
10 years ago
BBCSwahili30 Mar
Wazazi wanapaswa kudhibiti unene wa watoto
9 years ago
MichuziZAIDI YA WATOTO MILIONI 3.1 WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO HUFARIKI DUNIA KILA MWAKA HUKU WENGINE MILIONI 161 KUPATA MATATIZO YA KUDUMAA MWILI
5 years ago
CCM BlogRITA: WATOTO CHINI YA MIKA MITANO KUPATA VYETI BILA MALIPO
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme, amemtaka wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) na wakuu wa wilaya zinazopakana na Nchi jirani kuhakikisha wanawadhibiti watoto walio na umri chini ya miaka mitano ambao sio raia wa Tanzania kuingizwa kwenye mpango wa usajili wa vizazi utakaoanza mapema mwaka huu.
Mndeme alitoa rai hiyo jana wakati alipokuwa akifungua warsha ya viongozi wa wilaya na mkoa wa Ruvuma kuhusu usajili wa vizazi kwa watoto wa umri wa...
5 years ago
BBCSwahili06 May
Mtoto wa miaka mitano akamatwa Marekani akiendesha gari la wazazi wake
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CQg7YXs4p5M/XmakE3wgLYI/AAAAAAALiUU/364dhzDVSjwS8uiwC9NSK4W8pZ1oswRHwCLcBGAsYHQ/s72-c/8ea7cdd1-676b-47ad-acd1-521826eaa55f.jpg)
WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI
Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya
Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...