ANDIKISHENI WATOTO WAWEZE KUPATA VYETI VYA KUZALIWA - RITA
![](http://2.bp.blogspot.com/-RAWURq6FRAU/VUi5nEa0cFI/AAAAAAAAAWs/pZ9QIWfvWto/s72-c/DSC_0402.jpg)
Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii. WAKALA wa usajili ufilisi na udhamini(RITA) wamewataka wazazi na walezi wanaosoma shule za msingi za Manispaa ya Kinondoni wawaandikishe watoto wao ili waweze kupata vyeti vyao vya kuzaliwa.
Hayo yamesemwa na Meneja masoko Mawasiliano na Elimu kwa Umma wa RITA Josephat Kimaro wakati akizungumza na wandishi wa habari katika ukumbi wa Habari MAELEZO leo jijini Dar es Salaam.
Kimaro amesema kuwa wananchi wajue umhimu wa cheti cha kuzaliwa kwani Cheti cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLRITA YAWAPATIA VYETI VYA KUZALIWA WANAFUNZI 15,120 ILALA
5 years ago
CCM BlogRITA: WATOTO CHINI YA MIKA MITANO KUPATA VYETI BILA MALIPO
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme, amemtaka wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) na wakuu wa wilaya zinazopakana na Nchi jirani kuhakikisha wanawadhibiti watoto walio na umri chini ya miaka mitano ambao sio raia wa Tanzania kuingizwa kwenye mpango wa usajili wa vizazi utakaoanza mapema mwaka huu.
Mndeme alitoa rai hiyo jana wakati alipokuwa akifungua warsha ya viongozi wa wilaya na mkoa wa Ruvuma kuhusu usajili wa vizazi kwa watoto wa umri wa...
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Rita kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi shule za msingi
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Vihg84HCNG0/VEaQ1V2rQCI/AAAAAAAGsg0/p0zvjXxPN_Y/s72-c/unnamed%2B(5).jpg)
RITA YAFANIKIWA KUSAJILI WANAFUNZI ELFU 15 NA KUWAPATIA VYETI VYA KUZALIWA MANISPAA YA ILALA.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dqD_QkHo5D0/VPBlSgkxEYI/AAAAAAAHGNk/p_VUtgo8zXA/s72-c/DSCF5044.jpg)
RITA wazindua mkakati wa Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi Wilaya ya Kinondoni
![](http://3.bp.blogspot.com/-dqD_QkHo5D0/VPBlSgkxEYI/AAAAAAAHGNk/p_VUtgo8zXA/s1600/DSCF5044.jpg)
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA AZINDUA MKAKATI WA USAJILI NA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA KWA WATOTO WA MWANZA
11 years ago
Michuzi28 Apr
KUTANGAZA KWA KUPOTEA KWA VYETI VYA SECONDARY NA VYETI VYA KUZALIWA
Katika mazingira ya yasiyoelweka, natangaza KUPOTEA kwa vyeti vya kuzaliwa vyenye majina ya Marianne Mwiki na Even Mwiki.
ACSE from Lutheran Junior Seminary mwaka 2001 CSE from Mpwapwa Secondary School mwaka 1997
Mara ya mwisho vilitumwa Arusha Tanzania 2005,
Mwenye taarifa ya mtu yeyote kujiita Marianne Mwiki katika nafasi yeyote ya kazi, shule ama chuo sehemu yeyote, tafadhali tujulishe haraka iwezekanavyo, zawadi kubwa itatolewa kwa Mwenye taarifa yeyote itakayoweza kusaidia...
11 years ago
Habarileo01 Mar
Vyeti vya kuzaliwa kutolewa shuleni
WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini Tanzania (RITA) ameanzisha mpango wa uandikishaji na utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wanaoanzia umri wa miaka sita hadi 18 katika shule zote za msingi na sekondari nchini. Hatua hiyo inatokana na kubaini kuwa ni asilimia 23 tu ya Watanzania nchini ndio waliosajiliwa na kupewa vyeti vya kuzaliwa.
10 years ago
BBCSwahili06 Nov
Zoezi la vyeti vya kuzaliwa Tanzania