Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTANGAZA KWA KUPOTEA KWA VYETI VYA SECONDARY NA VYETI VYA KUZALIWA


Katika mazingira ya yasiyoelweka, natangaza KUPOTEA kwa vyeti vya kuzaliwa vyenye majina ya Marianne Mwiki na Even Mwiki.

ACSE from Lutheran Junior Seminary mwaka 2001 CSE from Mpwapwa Secondary School mwaka 1997


Mara ya mwisho vilitumwa Arusha Tanzania 2005,


Mwenye taarifa ya mtu yeyote kujiita Marianne Mwiki katika nafasi yeyote ya kazi, shule ama chuo  sehemu yeyote, tafadhali tujulishe haraka iwezekanavyo, zawadi kubwa itatolewa kwa Mwenye taarifa yeyote itakayoweza kusaidia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Rita kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi shule za msingi

Wakala wa Usajili na ufilisi na Udhamini(RITA) imezindua  mkakati wa usajili na kutoa vyeti kwa wanafunzi wa shule za msingi katika Manispaa ya Kinondoni mashuleni lengo likiwa ni kusogeza huduma karibu kwa watanzania

 

10 years ago

Michuzi

RITA wazindua mkakati wa Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi Wilaya ya Kinondoni

Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Mkakati wa Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi katika Wilaya ya Kinondoni,Waziri wa Katiba na Sheria,Mh. Dkt. Asha-Rose Migiro akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mkakati huo,akishirikiana na Mbunge wa Jimbo la Kinondoni,Mh. Iddi Azzan,Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Mh. Yussuf Mwenda,Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA),Phillip Saliboko pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA AZINDUA MKAKATI WA USAJILI NA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA KWA WATOTO WA MWANZA

Naibu Waziri wa Katiba na sheria Mhe Ummy A. Mwalimu akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mkakati wa Usajili na kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto wenye Umri Chini ya Miaka Mitano wa Mkoa wa Mwanza. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu akihutubia Viongozi mbalimbali wa Serikali, Vyama vya Siasa na wananchi wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa Usajili na kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto wenye Umri chini ya Miaka Mitano Mkoa wa Mwanza. Mkakati unalenga kusogeza huduma za ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Zoezi la vyeti vya kuzaliwa Tanzania

Wakala wa Usajili Tanzania wamezindua mpango wa utoaji wa vyeti vya kuzaliwa mashuleni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaouza vyeti vya kuzaliwa kukiona

SERIKALI imetangaza kuwachukulia hatua kali wote watakaobainika kuuza vyeti vya kuzaliwa kwa bei kubwa kinyume cha sheria. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela...

 

11 years ago

Habarileo

Vyeti vya kuzaliwa kutolewa shuleni

WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini Tanzania (RITA) ameanzisha mpango wa uandikishaji na utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wanaoanzia umri wa miaka sita hadi 18 katika shule zote za msingi na sekondari nchini. Hatua hiyo inatokana na kubaini kuwa ni asilimia 23 tu ya Watanzania nchini ndio waliosajiliwa na kupewa vyeti vya kuzaliwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi 7,000 wapata vyeti vya kuzaliwa

ZAIDI ya wafunzi 7,400 wa shule za msingi Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, wamepatiwa vyeti vya kuzaliwa. Akizungumza na Tanzania Daima jana wakati wa maonyesho ya Wiki ya...

 

10 years ago

Habarileo

Walimu, wazazi waghushi vyeti vya kuzaliwa

WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umebaini udanganyifu uliofanywa na walimu wa shule za msingi na wazazi kughushi taarifa na kuongeza bei wakati wa kusajili na kuwapatia wanafunzi vyeti vya kuzaliwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Vyeti vya kuzaliwa na simu za mkononi Tanzania

Kumiliki cheti cha kuzaliwa Tanzania ni jambo muhimu,mtoto anapata haki za msingi na kutambuliwa kihalali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani