RITA YAFANIKIWA KUSAJILI WANAFUNZI ELFU 15 NA KUWAPATIA VYETI VYA KUZALIWA MANISPAA YA ILALA.
Na Fatma Salum- MaelezoJumla ya wanafunzi 15,120 wa shule za Msingi na Sekondari katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wameweza kusajiliwa na kupata vyeti vya kuzaliwa kupitia Mkakati wa Usajili na Kutoa Vyeti vya Kuzaliwa unaotekelezwa na Wakala wa Usajili,Ufilisi na Udhamini (RITA). Hayo yamesemwa na Meneja Masoko, Mawasiliano na Elimu kwa Umma kutoka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Bw. Josephat Kimaro wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLRITA YAWAPATIA VYETI VYA KUZALIWA WANAFUNZI 15,120 ILALA
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Rita kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi shule za msingi
10 years ago
MichuziRITA wazindua mkakati wa Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi Wilaya ya Kinondoni
10 years ago
MichuziANDIKISHENI WATOTO WAWEZE KUPATA VYETI VYA KUZALIWA - RITA
Hayo yamesemwa na Meneja masoko Mawasiliano na Elimu kwa Umma wa RITA Josephat Kimaro wakati akizungumza na wandishi wa habari katika ukumbi wa Habari MAELEZO leo jijini Dar es Salaam.
Kimaro amesema kuwa wananchi wajue umhimu wa cheti cha kuzaliwa kwani Cheti cha...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Wanafunzi 7,000 wapata vyeti vya kuzaliwa
ZAIDI ya wafunzi 7,400 wa shule za msingi Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, wamepatiwa vyeti vya kuzaliwa. Akizungumza na Tanzania Daima jana wakati wa maonyesho ya Wiki ya...
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
RITA yatoa vyeti kwa shule 105 Ilala
WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) wamefanya zoezi maalumu la usajili na kutoa vyeti katika shule za msingi 105 za Manispaa ya Ilala. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana...
11 years ago
Michuzi28 Apr
KUTANGAZA KWA KUPOTEA KWA VYETI VYA SECONDARY NA VYETI VYA KUZALIWA
Katika mazingira ya yasiyoelweka, natangaza KUPOTEA kwa vyeti vya kuzaliwa vyenye majina ya Marianne Mwiki na Even Mwiki.
ACSE from Lutheran Junior Seminary mwaka 2001 CSE from Mpwapwa Secondary School mwaka 1997
Mara ya mwisho vilitumwa Arusha Tanzania 2005,
Mwenye taarifa ya mtu yeyote kujiita Marianne Mwiki katika nafasi yeyote ya kazi, shule ama chuo sehemu yeyote, tafadhali tujulishe haraka iwezekanavyo, zawadi kubwa itatolewa kwa Mwenye taarifa yeyote itakayoweza kusaidia...
11 years ago
Habarileo01 Mar
Vyeti vya kuzaliwa kutolewa shuleni
WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini Tanzania (RITA) ameanzisha mpango wa uandikishaji na utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wanaoanzia umri wa miaka sita hadi 18 katika shule zote za msingi na sekondari nchini. Hatua hiyo inatokana na kubaini kuwa ni asilimia 23 tu ya Watanzania nchini ndio waliosajiliwa na kupewa vyeti vya kuzaliwa.
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Wanaouza vyeti vya kuzaliwa kukiona
SERIKALI imetangaza kuwachukulia hatua kali wote watakaobainika kuuza vyeti vya kuzaliwa kwa bei kubwa kinyume cha sheria. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela...