MIAKA MITANO YA MAX MALIPO
Mkurugnezi Mtendaji wa Kampuni ya Kitanzania ya MaxCom Africa, inayotoa huduma za Max Malipo, Juma Rajabu na Mwakilishi wa Manispaa ya Kinondoni, Richard Chagula wakikata utepe kuzindua muonekano mpya wa huduma ya Max Malipo, katika hafla iliyokutanisha uongozi wa kampuni hiyo ya Jukwaa la Wahariri, leo katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Mkurugnezi Mtendaji wa MaxCom Africa, watoaji wa huduma za Max Malipo, Juma Rajabu akizindua muonekano mpya wa huduma ya Max Malipo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMAXCOM AFRIKA YATIMIZA MIAKA MITANO, YABADILI MUONEKANO WA HUDUMA YAO YA MAX MALIPO
![](http://1.bp.blogspot.com/-Yf2fRcxffOA/VHhr01G_fYI/AAAAAAAAryo/if-wV2bHBWA/s1600/1.%2BMkurugnezi%2BMkuu%2Bwa%2BMaxCom%2BAfrica%2C%2BJuma%2BRajabu%2B%2Bna%2BRichard%2BChagula%2Bwa%2BManispaa%2Bya%2BKinondoni%2Bwakikata%2Butepe%2Bkuzindua%2Bmuonekano%2Bmpoya%2Bwa%2BMax%2BMalipo.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-JWFKiLGb0X0/VHhr4AuDCSI/AAAAAAAArzQ/ZlYmNMVgVQ0/s1600/2.%2BMkurugnezi%2BMkuu%2Bwa%2BMaxCom%2BAfrica%2C%2BJuma%2BRajabu%2Bakizindua%2Bmuonekano%2Bmpya%2Bwa%2Bhuduma%2Bya%2BMax%2BMalipo.jpg)
10 years ago
Mwananchi10 Aug
Askari polisi wastaafu Kilimanjaro wasotea malipo miaka mitano
10 years ago
GPLPSPF NA MAX MALIPO WAUNGANA KUKOMBOA WAJASIRIAMALI
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-IP5vfPC3Lfs/U7Q6ysaPfII/AAAAAAACkpI/wnyp20EYg88/s72-c/IMG_1417.jpg)
WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA BANDA LA MAX MALIPO
![](http://1.bp.blogspot.com/-IP5vfPC3Lfs/U7Q6ysaPfII/AAAAAAACkpI/wnyp20EYg88/s1600/IMG_1417.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-sIVghzs-k0U/U7Q6ygJTG1I/AAAAAAACkpY/dLUoM9W3-HI/s1600/IMG_1442.jpg)
5 years ago
CCM BlogRITA: WATOTO CHINI YA MIKA MITANO KUPATA VYETI BILA MALIPO
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme, amemtaka wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) na wakuu wa wilaya zinazopakana na Nchi jirani kuhakikisha wanawadhibiti watoto walio na umri chini ya miaka mitano ambao sio raia wa Tanzania kuingizwa kwenye mpango wa usajili wa vizazi utakaoanza mapema mwaka huu.
Mndeme alitoa rai hiyo jana wakati alipokuwa akifungua warsha ya viongozi wa wilaya na mkoa wa Ruvuma kuhusu usajili wa vizazi kwa watoto wa umri wa...
9 years ago
Mwananchi14 Oct
UKWELI UTAKUWEKA HURU: Miaka 54 mmeshindwa, miaka mitano mtaweza?
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Sitta: Nipeni miaka mitano
NA WAANDISHI WETU, TABORA
IDADI ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaotangaza nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, imeendelea kuongezeka baada ya Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta naye kutangaza jana.
Waziri Sitta, alitangaza nia yake katika Ikulu ndogo ya Itetemea mkoani Tabora, huku akiomba chama chake kimpitishe na Watanzania kumpa miaka mitano tu ya kufanya mageuzi makubwa ya kiutawala.
“Tofauti na wenzangu wanaotaka urais kwa miaka 10, mimi nataka kutumikia nafasi...
10 years ago
MichuziNINATAKA URAIS WA MIAKA MITANO-SITTA
Waziri wa Uchukuzi,Samwel Sitta amesema kuwa anataka Urais wa miaka mitano kuweza kuivusha nchi katika kutokana na mambo yanayoonekana ikiwamo muungano,udini ,ungezeko la vijana.
Sitta ameyasema hayo leo wakati akitangaza nia ya kugombea urais katika mkutano uliofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chifu Fundikira Kata ya Itetemia mkoani Tabora.
Amesema mtu yeyote makini ana nafasi ya Urais, hana budi kuyapima mazingira ya taifa katika miaka mitano...
10 years ago
Mwananchi14 Jul
Sugu ataka miaka mingine mitano