MTOTO AZALIWA BILA UBONGO WA NYUMA!
![](http://api.ning.com:80/files/EFRV*I*wRwLKrbTsLCIdL2Av5cPR5*HQMbXYwanimjTvxrekfSRdJwvQllV*PIVNAWWd1KCYqyQ*jmQxsGCcG7bfuln1S4SD/d.jpg?width=650)
Na Haruni Sachawa NImaajabu! Mwanamke mmoja, Diana Dioniz mkazi wa Magomeni Makuti jijini Dar es Salaam, ameangua kilio cha kuomba msaada baada ya mtoto wake aliyezaliwa mwaka mmoja uliopita kugundulika kuwa hana ubongo wa nyuma (medulla oblongata), hali inayosababisha shingo kulegea na macho kutoona. Mtoto anayedaiwa kuzaliwa bila ya ubongo wa nyuma(medulla oblongata). Akizungumza na gazeti hili nyumbani kwake, Diana...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Apr
Mtoto azaliwa bila pua
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pgHCO1djFo4YAZBcFwEjkc2jMx-sfQ16xHfc2z9VhCHcn91LEbYlDDctR8ZgyifZyF3ge7Weyox*WUpCbDiTeovgOqqY9ih8/ee.gif?width=650)
MTOTO AZALIWA BILA SEHEMU YA HAJA KUBWA
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Mtoto mkubwa azaliwa Marekani
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Mtoto wa ajabu azaliwa Dar
![Hospitali ya Mwananyamala](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/mwananyamala-hospitali.jpg)
Hospitali ya Mwananyamala
NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM
MTOTO wa ajabu anayedaiwa kuzaliwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam ameibua mjadala mkubwa katika jamii.
Taarifa zilizoenea jana katika mitandao ya kijamii zilionyesha picha ya sura ya mtoto huyo akiwa na umbo la binadamu, lakini macho yake na sura akiwa anafanana na chura.
MTANZANIA ilifika katika Hospitali ya Mwananyamala na kukuta taarifa zikiwa zimezagaa kuhusu tukio hilo linalovuta hisia za watu.
Inadaiwa mtoto...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*9fn6zx1i0KloqqPy0yP115sLCv4CmO4rg4JWSJxIdBn05il0XN18TfaFu1jMlzmEI8OAW5bJsTQDG9J*BHkeFE6ENB-jY09/11.gif?width=650)
MTOTO WA AJABU AZALIWA SHINYANGA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/h2SvCI1KJvM-bQLsvnMPFFDsnGOB4VsuDOQBltLDhbxA908miD1yiIPla7ImqZZX87JcRa83rr3NYuqEUO479Tl6-JW3HN4B/mtoto.jpg?width=650)
MTOTO MKUBWA AZALIWA NCHINI MAREKANI
10 years ago
BBCSwahili04 Oct
Mtoto wa kizazi cha 'msaada' azaliwa
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Mtoto azaliwa kutokana na mayai yaliohifadhiwa
11 years ago
Mwananchi11 Jul
AJABU: Mtoto azaliwa hana viungo kamili