MTOTO WA AJABU AZALIWA SHINYANGA
![](http://api.ning.com:80/files/*9fn6zx1i0KloqqPy0yP115sLCv4CmO4rg4JWSJxIdBn05il0XN18TfaFu1jMlzmEI8OAW5bJsTQDG9J*BHkeFE6ENB-jY09/11.gif?width=650)
Muonekano wa mtoto huyo. Na GABRIEL NG’OSHA WAKAZI wa Mkoa wa Shinyanga wamekumbwa na mshituko baada ya mama mmoja mwenyeji wa Ndembezi mkoani humo kujifungua mtoto wa ajabu, Amani limeinasa. Tukio hilo lilijiri usiku wa kuamkia Machi 12, mwaka huu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga. Kwa mujibu wa watu waliomwona mtoto huyo waliliambia Amani kwamba, alizaliwa akiwa na masikio yote kwenye shingo, kuanzia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Mtoto wa ajabu azaliwa Dar
![Hospitali ya Mwananyamala](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/mwananyamala-hospitali.jpg)
Hospitali ya Mwananyamala
NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM
MTOTO wa ajabu anayedaiwa kuzaliwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam ameibua mjadala mkubwa katika jamii.
Taarifa zilizoenea jana katika mitandao ya kijamii zilionyesha picha ya sura ya mtoto huyo akiwa na umbo la binadamu, lakini macho yake na sura akiwa anafanana na chura.
MTANZANIA ilifika katika Hospitali ya Mwananyamala na kukuta taarifa zikiwa zimezagaa kuhusu tukio hilo linalovuta hisia za watu.
Inadaiwa mtoto...
11 years ago
Mwananchi11 Jul
AJABU: Mtoto azaliwa hana viungo kamili
11 years ago
GPL09 Dec
MTOTO WA AJABU AZALIWA KENYA: ANA VICHWA VITATU, MENO NA VIDOLE SITA
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Mtoto mkubwa azaliwa Marekani
10 years ago
BBCSwahili06 Apr
Mtoto azaliwa bila pua
10 years ago
BBCSwahili04 Oct
Mtoto wa kizazi cha 'msaada' azaliwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/h2SvCI1KJvM-bQLsvnMPFFDsnGOB4VsuDOQBltLDhbxA908miD1yiIPla7ImqZZX87JcRa83rr3NYuqEUO479Tl6-JW3HN4B/mtoto.jpg?width=650)
MTOTO MKUBWA AZALIWA NCHINI MAREKANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EFRV*I*wRwLKrbTsLCIdL2Av5cPR5*HQMbXYwanimjTvxrekfSRdJwvQllV*PIVNAWWd1KCYqyQ*jmQxsGCcG7bfuln1S4SD/d.jpg?width=650)
MTOTO AZALIWA BILA UBONGO WA NYUMA!
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Mtoto azaliwa kutokana na mayai yaliohifadhiwa