Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO MKUBWA AZALIWA NCHINI MAREKANI

Avery mtoto mkubwa kuliko kawaida nchini Marekani. Mwanamke mmoja nchini Marekani amejifungua mtoto mwenye uzito wa paundi 14.1 sawa na kilo 6.4kg na sasa mtoto huyo anakula mara mbili zaidi ya uwezo wa mtoto mchanga. Bi Maxxzandra Ford amepata mtoto aliyempa jina Avery, ndiye mtoto mkubwa na mzito kuwahi kuzaliwa katika hospitali ya wanawake ya mtakatifu Joseph iliyoko Tampa, Florida.Avery, alizaliwa kwa njia ya kawaida. Ford...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto mkubwa azaliwa Marekani

Mwanamke mmoja nchini Marekani amejifungua mtoto mwenye uzito wa paundi 14.1 sawa na kilo 6.4kg.

 

10 years ago

Vijimambo

Avery mtoto mkubwa kuliko kawaida nchini Marekani


Mwanamke mmoja nchini Marekani amejifungua mtoto mwenye uzito wa paundi 14.1 sawa na kilo 6.4kg na sasa mtoto huyo anakula mara mbili zaidi ya uwezo wa mtoto mchanga .
Bi Maxx zandra Ford amepata mtoto aliyempa jina Avery, ndiye mtoto mkubwa na mzito kuwahi kuzaliwa katika hospitali ya wanawake ya mtakatifu Joseph iliyoko Tampa, Florida.Avery, alizaliwa kwa njia ya kawaida .Ford alikuwa hajatanabahi kuwa yu mjamzito mpaka alipotimiza wiki 35 .lakini mara baada ya kuwa anaongezeka uzito kupita...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUBWA WA NENO LA MUNGU WA WASABATO WATANZANIA WAISHIO NCHINI MAREKANI WATOTO WATENGEWA SEHEMU YAO.

 Watoto wakiwa sehemu yao chini ya uangalizi maalumu huku wazazi wao wakihudhuria mkutano mkubwa wa neno la Mungu unaondelea DMV kwa siku nne ikiwa leo Jumampili April 19, 2015 ndio hitimisho la mkutano huo. Watoto wakiangalia vipindi vya watoto kwenye luninga. Msimamizi wa watoto Tanya Muganda akielekeza jambo. Tanya Muganda akiwapatia zawadi watoto

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto azaliwa bila pua

''Alipozaliwa daktari alimweka kifuani mwangu. Nilipomwangalia kwa karibu, nilisema ' Hana pua'. Walimchukua na kutoka naye.

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA AJABU AZALIWA SHINYANGA

Muonekano wa mtoto huyo. Na GABRIEL NG’OSHA WAKAZI wa Mkoa wa Shinyanga wamekumbwa na mshituko baada ya mama mmoja mwenyeji wa Ndembezi mkoani humo kujifungua mtoto wa ajabu, Amani limeinasa. Tukio hilo lilijiri usiku wa kuamkia Machi 12, mwaka huu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Kwa mujibu wa watu waliomwona mtoto huyo waliliambia Amani kwamba, alizaliwa akiwa na masikio yote kwenye shingo, kuanzia...

 

11 years ago

Mtanzania

Mtoto wa ajabu azaliwa Dar

Hospitali ya Mwananyamala

Hospitali ya Mwananyamala

NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM

MTOTO wa ajabu anayedaiwa kuzaliwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam ameibua mjadala mkubwa katika jamii.

Taarifa zilizoenea jana katika mitandao ya kijamii zilionyesha picha ya sura ya mtoto huyo akiwa na umbo la binadamu, lakini macho yake na sura akiwa anafanana na chura.

MTANZANIA ilifika katika Hospitali ya Mwananyamala na kukuta taarifa zikiwa zimezagaa kuhusu tukio hilo linalovuta hisia za watu.

Inadaiwa mtoto...

 

10 years ago

GPL

MTOTO AZALIWA BILA UBONGO WA NYUMA!

Na Haruni Sachawa
NImaajabu! Mwanamke mmoja, Diana Dioniz  mkazi wa Magomeni Makuti jijini Dar es Salaam, ameangua kilio cha kuomba msaada baada ya mtoto wake aliyezaliwa mwaka mmoja uliopita kugundulika kuwa hana ubongo wa nyuma (medulla oblongata), hali inayosababisha shingo kulegea na macho kutoona. Mtoto anayedaiwa kuzaliwa bila ya ubongo wa nyuma(medulla oblongata). Akizungumza na gazeti hili nyumbani kwake, Diana...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa kizazi cha 'msaada' azaliwa

Mwanamke mmoja nchini Sweden amejifungua mtoto kutokana na kizazi alichowekewa kupitia upasuaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani