Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto wa ajabu azaliwa Dar

Hospitali ya Mwananyamala

Hospitali ya Mwananyamala

NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM

MTOTO wa ajabu anayedaiwa kuzaliwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam ameibua mjadala mkubwa katika jamii.

Taarifa zilizoenea jana katika mitandao ya kijamii zilionyesha picha ya sura ya mtoto huyo akiwa na umbo la binadamu, lakini macho yake na sura akiwa anafanana na chura.

MTANZANIA ilifika katika Hospitali ya Mwananyamala na kukuta taarifa zikiwa zimezagaa kuhusu tukio hilo linalovuta hisia za watu.

Inadaiwa mtoto...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MTOTO WA AJABU AZALIWA SHINYANGA

Muonekano wa mtoto huyo. Na GABRIEL NG’OSHA WAKAZI wa Mkoa wa Shinyanga wamekumbwa na mshituko baada ya mama mmoja mwenyeji wa Ndembezi mkoani humo kujifungua mtoto wa ajabu, Amani limeinasa. Tukio hilo lilijiri usiku wa kuamkia Machi 12, mwaka huu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Kwa mujibu wa watu waliomwona mtoto huyo waliliambia Amani kwamba, alizaliwa akiwa na masikio yote kwenye shingo, kuanzia...

 

11 years ago

Mwananchi

AJABU: Mtoto azaliwa hana viungo kamili

>Mtoto wa ajabu amezaliwa katika Hospitali ya Wilaya ya Bukombe mkoani Geita akiwa na upungufu wa viungo kadhaa mwilini.

 

11 years ago

GPL

MTOTO WA AJABU AZALIWA KENYA: ANA VICHWA VITATU, MENO NA VIDOLE SITA

Mtoto wa ajabu amezaliwa katika Hospitali ya Garissa nchini Kenya akiwa na vichwa vitatu, meno na vidole sita. (VIDEO NA KTN)

 

11 years ago

GPL

MTOTO WA AJABU DAR

Na Hamida Hassan na Imelda Mtema
AMA kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao, Andrea Marcus (13), mkazi wa Mbezi-Kibanda cha Mkaa, Dar anadaiwa kuwa wa ajabu kutokana na vitendo vyake.
Mtoto huyu amedaiwa kuwa ni wa kichawi kutokana na maajabu yafuatayo: Mkazi wa Mbezi-Kibanda,  Andrea Marcus. Ana uwezo wa kula ubwabwa sufuria moja la familia, anamudu kunywa maji ndoo moja, ana uwezo wa kuingiza tumboni mikate...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mtoto mwenye kipaji cha ajabu ndani ya Dar

MTOTO  mwenye kipawa cha ajabu katika kutoa ushauri  wa kujijengea uwezo wa kujiamini  anayezidi kujipatia umaarufu mkubwa duniani,  Lonnie Hudson  maarufu kwa jina la ‘King Nahh’ yupo jijini Dar es Salaam.

King Nahh yuko jijini akiwa ameambatana na baba yake mzazi , Nyeeam Hudson. Familia ya motto huyo ipo nchini kwa mwaliko wa  taasisi isiyo ya kiserikali ya Wisdom Partners.

Mtoto huyo amealikwa nchini kwa madhumuni ya kuungana au kukutana na watoto wenzake kuamsha hisia za  za...

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA AJABU AIBUKA DAR, ATOA ELIMU AKHERA NA DUNIA

Mtoto Salim akitoa elimu kwa wananchi. Umati wa wakazi wa Temeke wakiwa makini kumsikiliza mtoto…

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto azaliwa bila pua

''Alipozaliwa daktari alimweka kifuani mwangu. Nilipomwangalia kwa karibu, nilisema ' Hana pua'. Walimchukua na kutoka naye.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto mkubwa azaliwa Marekani

Mwanamke mmoja nchini Marekani amejifungua mtoto mwenye uzito wa paundi 14.1 sawa na kilo 6.4kg.

 

10 years ago

Michuzi

MTOTO MWENYE KIPAJI CHA AJABU KUTOKA MAREKANI ATUA NCHINI LEO, KUFANYA KONGAMANO LA WATOTO NA WAZAZI KESHO JIJINI DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu
MTOTO  mwenye kipawa cha ajabu katika kutoa ushauri  wa kujijengea uwezo wa kujiamini  anayezidi kujipatia umaarufu mkubwa duniani,  Lonnie Hudson  maarufu kama ‘King Nahh’(Pichani), ametua  jijini Dar es Salaam , leo.
King Nahh aliambatana na baba yake mzazi , Nyeeam Hudson  ambapo wapo nchini kwa mwaliko wa  taasisi isiyo ya kiserikali ya Wisdom Partners.
Kesho mtoto huyo atafanya  kongamano kubwa  la watoto na wazazi  katika Ukumbi wa Urafiki ambapo nia na madhumuni ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani