MTOTO WA AJABU DAR
![](http://api.ning.com:80/files/LxgTrYw8IcnK-LQXBQ2AAw7IBBD0FZmVeSD2RuSXFPsvpD0L3gI*SnlkDdzlmxzMqH7g3v6LhyLB-M5OjmutknWsdgUeGPDY/mtoto.jpg?width=650)
Na Hamida Hassan na Imelda Mtema AMA kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao, Andrea Marcus (13), mkazi wa Mbezi-Kibanda cha Mkaa, Dar anadaiwa kuwa wa ajabu kutokana na vitendo vyake. Mtoto huyu amedaiwa kuwa ni wa kichawi kutokana na maajabu yafuatayo: Mkazi wa Mbezi-Kibanda, Andrea Marcus. Ana uwezo wa kula ubwabwa sufuria moja la familia, anamudu kunywa maji ndoo moja, ana uwezo wa kuingiza tumboni mikate...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Mtoto wa ajabu azaliwa Dar
![Hospitali ya Mwananyamala](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/mwananyamala-hospitali.jpg)
Hospitali ya Mwananyamala
NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM
MTOTO wa ajabu anayedaiwa kuzaliwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam ameibua mjadala mkubwa katika jamii.
Taarifa zilizoenea jana katika mitandao ya kijamii zilionyesha picha ya sura ya mtoto huyo akiwa na umbo la binadamu, lakini macho yake na sura akiwa anafanana na chura.
MTANZANIA ilifika katika Hospitali ya Mwananyamala na kukuta taarifa zikiwa zimezagaa kuhusu tukio hilo linalovuta hisia za watu.
Inadaiwa mtoto...
10 years ago
Raia Tanzania31 Jul
Mtoto mwenye kipaji cha ajabu ndani ya Dar
MTOTO mwenye kipawa cha ajabu katika kutoa ushauri wa kujijengea uwezo wa kujiamini anayezidi kujipatia umaarufu mkubwa duniani, Lonnie Hudson maarufu kwa jina la ‘King Nahh’ yupo jijini Dar es Salaam.
King Nahh yuko jijini akiwa ameambatana na baba yake mzazi , Nyeeam Hudson. Familia ya motto huyo ipo nchini kwa mwaliko wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Wisdom Partners.
Mtoto huyo amealikwa nchini kwa madhumuni ya kuungana au kukutana na watoto wenzake kuamsha hisia za za...
10 years ago
GPLMTOTO WA AJABU AIBUKA DAR, ATOA ELIMU AKHERA NA DUNIA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-J_Rv17MhYOQ/VbNqZrWajAI/AAAAAAAAxKE/rJqDXf0DzYk/s72-c/1.jpg)
MTOTO MWENYE KIPAJI CHA AJABU KUTOKA MAREKANI ATUA NCHINI LEO, KUFANYA KONGAMANO LA WATOTO NA WAZAZI KESHO JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-J_Rv17MhYOQ/VbNqZrWajAI/AAAAAAAAxKE/rJqDXf0DzYk/s640/1.jpg)
MTOTO mwenye kipawa cha ajabu katika kutoa ushauri wa kujijengea uwezo wa kujiamini anayezidi kujipatia umaarufu mkubwa duniani, Lonnie Hudson maarufu kama ‘King Nahh’(Pichani), ametua jijini Dar es Salaam , leo.
King Nahh aliambatana na baba yake mzazi , Nyeeam Hudson ambapo wapo nchini kwa mwaliko wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Wisdom Partners.
Kesho mtoto huyo atafanya kongamano kubwa la watoto na wazazi katika Ukumbi wa Urafiki ambapo nia na madhumuni ni...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W1ZNWMIF0J8o6-UEGVqY46BvSZ5eFD4Eto28kDugmiHTiYi0NBFjG2V2-C2rKuxnpYRO-RlUc7nUszqQOJTe2wV/215Uwazi.jpg?width=650)
MTOTO AKUMBWA NA GONJWA LA AJABU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*9fn6zx1i0KloqqPy0yP115sLCv4CmO4rg4JWSJxIdBn05il0XN18TfaFu1jMlzmEI8OAW5bJsTQDG9J*BHkeFE6ENB-jY09/11.gif?width=650)
MTOTO WA AJABU AZALIWA SHINYANGA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGj8nXBcp01MK0lcDnnVhbAzjyPGtYi3wfkPMfWBGqGH6msBM0914eUaJ3UJqdEb6tDQjeQGSY02mVg9CwHHWJ94/MamaM.jpg)
MAMA AJIFUNGUA MTOTO WA AJABU
11 years ago
Mwananchi23 May
Aliyezaa mtoto wa ajabu Handeni alonga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mK50tPAXydX*rmMm0MnyCrLAVj3RTEpu9KFLjqLaUqbNo44UyYhez3iw-5wYQwkIZkkRmubZYvw3GXMsFskAY*qyHgCJF1sG/india.jpg?width=650)
MTOTO MWENYE GONJWA LA AJABU... ATUA INDIA