Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO AZALIWA BILA SEHEMU YA HAJA KUBWA

Joseph Ngilisho, Arusha
MTOTO Salma Omary (3) mkazi wa Banda Mbili, Sombetini jijini hapa, anaishi kwa  mateso makali baada ya kuzaliwa akiwa hana sehemu ya haja kubwa, hali iliyolazimu kujisaidia kupitia tundu lililotobolewa tumboni kwake.Mama mzazi wa mtoto huyo, Mariamu Andrea (28) aliliambia gazeti hili kuwa zinahitajika kiasi cha shilingi milioni moja ili aweze kutibiwa katika hospitali ya KCMC mjini Moshi na kuwa mzazi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto azaliwa bila pua

''Alipozaliwa daktari alimweka kifuani mwangu. Nilipomwangalia kwa karibu, nilisema ' Hana pua'. Walimchukua na kutoka naye.

 

10 years ago

GPL

MTOTO AZALIWA BILA UBONGO WA NYUMA!

Na Haruni Sachawa
NImaajabu! Mwanamke mmoja, Diana Dioniz  mkazi wa Magomeni Makuti jijini Dar es Salaam, ameangua kilio cha kuomba msaada baada ya mtoto wake aliyezaliwa mwaka mmoja uliopita kugundulika kuwa hana ubongo wa nyuma (medulla oblongata), hali inayosababisha shingo kulegea na macho kutoona. Mtoto anayedaiwa kuzaliwa bila ya ubongo wa nyuma(medulla oblongata). Akizungumza na gazeti hili nyumbani kwake, Diana...

 

9 years ago

Vijimambo

FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU

FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU(JAMIIMOJABLOG)
~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa...

 

11 years ago

GPL

MTOTO MIAKA 3 AJISAIDIA HAJA KUBWA KWA NJIA YA MDOMO

Stori: Makongoro Oging’ MASKINI Mungu wangu! Ndiyo maneno aliyoanza nayo kusema mama mzazi wa mtoto Salome Abdallah Said (3), kutokana na mwanaye huyo afya yake kuzidi kubadilika kufuatia kuumwa mara kwa mara licha ya kufanyiwa upasuaji mara mbili. Mtoto Salome Abdallah Said (3) akiwa na kovu tumboni baada ya upasuaji. Akizungumza na gazeti hili wiki iliyopita mama wa mtoto huyo Veronica Laurent, mkazi wa Bunju B, jijini...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto mkubwa azaliwa Marekani

Mwanamke mmoja nchini Marekani amejifungua mtoto mwenye uzito wa paundi 14.1 sawa na kilo 6.4kg.

 

11 years ago

Mtanzania

Mtoto wa ajabu azaliwa Dar

Hospitali ya Mwananyamala

Hospitali ya Mwananyamala

NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM

MTOTO wa ajabu anayedaiwa kuzaliwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam ameibua mjadala mkubwa katika jamii.

Taarifa zilizoenea jana katika mitandao ya kijamii zilionyesha picha ya sura ya mtoto huyo akiwa na umbo la binadamu, lakini macho yake na sura akiwa anafanana na chura.

MTANZANIA ilifika katika Hospitali ya Mwananyamala na kukuta taarifa zikiwa zimezagaa kuhusu tukio hilo linalovuta hisia za watu.

Inadaiwa mtoto...

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA AJABU AZALIWA SHINYANGA

Muonekano wa mtoto huyo. Na GABRIEL NG’OSHA WAKAZI wa Mkoa wa Shinyanga wamekumbwa na mshituko baada ya mama mmoja mwenyeji wa Ndembezi mkoani humo kujifungua mtoto wa ajabu, Amani limeinasa. Tukio hilo lilijiri usiku wa kuamkia Machi 12, mwaka huu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Kwa mujibu wa watu waliomwona mtoto huyo waliliambia Amani kwamba, alizaliwa akiwa na masikio yote kwenye shingo, kuanzia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto azaliwa kutokana na mayai yaliohifadhiwa

Mwanamke mmoja nchini Ubelgiji amekuwa wa kwanza duniani kujifungua mtoto kwa kutumia upandikizaji wa mayai ya mwanamke yaliowekwa katika jokovu alipokuwa mtoto.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa kizazi cha 'msaada' azaliwa

Mwanamke mmoja nchini Sweden amejifungua mtoto kutokana na kizazi alichowekewa kupitia upasuaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani