Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC Msafiri,haipiti siku moja Njombe bila kupata matukio 6-12 ya ukatili

Na Amiri Kilagalila, Njombe
Mkuu wa wilaya ya Njombe mkoani humo Ruth Msafiri amesema  haiwezi kupita siku moja mkoani Njombe bila kupata matukio ya ukatili yanayojumuisha ukatili wa kingono yasiyopungua 6-12  hali inayoweza kusababisha mkoa huo kuwa na matukio mengi ya ukatili kwa mwaka.

Ruth Msafiri ameyasema hayo mjini Makambako mkoani Njombe wakati wa msafara wa kutokomeza unyanyasaji wa kijinsia unaopita karibu mikoa yote nchini  kutoa elimu kwa wananchi kwa lengo la kuleta usawa wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

Dar es salaam, Madereva wa boda boda wakiongoza maandamano ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake jijini Dar es salaam. Maandamano hayo yalianzia uwanja wa Tipi ulioko Sinza hadi katika hotel ya Blue Pearl iliyopo Ubungo.Dar es salaam, Ujumbe mbalimbali wa maadhimisho ya kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.Kilimanjaro, Maandamano yakipita eneo la kituo kuu cha Mabasi cha mjini Moshi yakieekea katika viwanja vya kituo hicho ambako uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili...

 

9 years ago

StarTV

  Ukatili Wa Kijinsia Matukio 6,590 yaripotiwa katika mikoa ya Kaskazini

 

Mfumo dume katika baadhi ya Jamii unaochangiwa na mila na desturi potofu ni  miogoni mwa vitendo vya kikatili   vinavyotajwa kuendelea kuwanyima fursa ya kupata elimu baadhi ya watoto wa kike katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini.

Wanaharakati wa haki za binadamu Katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini  katika utafiti wao wamebaini kuwepo kwa ongezeko kubwa la matukio ya uakatili wa kijinsia  ambapo katika kipindi cha kuanzia mwenzi january hadi oktoba  mwaka huu jumla ya matukio 6,590 yakiwemo...

 

10 years ago

Michuzi

ZIITO ATIKISA NJOMBE NA MAKAMBAKO BILA KUJALI MVUA

Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kuitisha Bunge Maalum haraka iwezekanavyo ili ili liweze kufanya marekesho madogo ya katika ili kuruhusu uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki. Kauli hiyo imetolewa na CHAMA cha Alliance For Change and Transparency (ACT-Wazalendo), wakati akizungumza kwa nyakati tofauti Mkoani Njombe na Mji Mdogo wa Makambako wakati wa ziara ya chama hicho ya kuimarisha chama hicho mikoani. Akizungumza katika mkutano wa hadhara Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Anna Mghwira, alisema...

 

11 years ago

GPL

MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOA WA NJOMBE‏

Baadhi ya wanafunzi wa shule zilizopo mkoa wa Njombe wakifurahia maadhimisho ya wiki ya elimu yaliyofanyika kimkoa katika wilaya ya Makete Aprili 11, 2014.…

 

5 years ago

Michuzi

Mwingine aibuka Njombe adai kupata dawa ya kutibu Corona

Na Amiri kilagalila,Michuzi TV-Njombe

Ikiwa Siku chache zimepita tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli kufungua milango kwa watafiti wakiwemo wataalamu wa tiba asilia kufanya uchunguzi ili kubaini dawa ya kutibu ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19),hatimae huko mkoani Njombe mtu mmoja ambaye ni mtaalamu wa tiba asilia na tiba mbadala anaefahamika kwa jina la Ally Mhagama maarufu Dr Sagasaga amekiri kufanya utafiti na...

 

5 years ago

CCM Blog

MAAFISA TARAFA NJOMBE WAFURAHIA KUPATA PIKIPIKI KUTOKA KWA JPM



Na Amiri kilagalila,Njombe
Changamoto ya usafiri ili kuwafikia wananchi katika vijiji mbalimbali kwa maofisa tarafa mkoani Njombe sasa imepatiwa ufumbuzi baada ya serikali kugawa Pikipiki kwa kila ofisa hatua itakayochochea uhamasishaji shughuli za maendeleo.
Wakizungumza mara baada ya kukabidhiwa pikipiki na katibu tawala mkoa wa Njombe kwa niaba ya mkuu wa mkoa baadhi ya maofisa tarafa akiwemo Lilian Nyemele na Damas Kavindi wanasema tatizo la usafiri kwao limekuwa gumu ili kuwafikia...

 

9 years ago

Dewji Blog

MISA-TAN:Yasherekea Siku ya Kimataifa ya Haki ya kupata taarifa na kuzindua utafiti wa kupata taarifa Ofisi za Umma

Afisa Utafiti na Maelezo wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Sengiyumva Gasirigwa (wa kwanza kushoto) akitoa ufafanuzi alipokuwa anafungua mkutano huo kwa waandishi wa habari na wageni waalikwa kutoka kwenye taasisi mbalimbali za Serikali kwenye siku ya kimataifa ya haki ya kupata taarifa ambayo uadhimishwa Septemba 28 kwa kila mwaka.

Mwenyekiti msaidi wa Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN), Bwana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani