Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZIITO ATIKISA NJOMBE NA MAKAMBAKO BILA KUJALI MVUA

Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kuitisha Bunge Maalum haraka iwezekanavyo ili ili liweze kufanya marekesho madogo ya katika ili kuruhusu uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki. Kauli hiyo imetolewa na CHAMA cha Alliance For Change and Transparency (ACT-Wazalendo), wakati akizungumza kwa nyakati tofauti Mkoani Njombe na Mji Mdogo wa Makambako wakati wa ziara ya chama hicho ya kuimarisha chama hicho mikoani. Akizungumza katika mkutano wa hadhara Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Anna Mghwira, alisema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Kinana ahutubia bila kujali Mvua Kigoma

-Asisitiza Umoja na Mshikamano Kigoma

-Asema ahadi zote zitatekelezwa

-Awataka Viongozi wa CCM kufanya mikutano mingi na wanachama na wananchi kwa jumla

-Nape afundisha Umma Demokrasia ya kweli, aonyesha namna gani vyama vingi vya upinzani ni wababaishaji atolea mifano namba alivyotelekezwa mgombea wa Chalinze

-Zaidi ya wanachama 350 wajiunga na CCM

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Kigoma mjini bila kujali mvua,ambapo alisisitiza kuwa CCM...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA KATIKA KAMPENI MJINI MAKAMBAKO NA NJOMBE

Umati wa wananchi wa Mji wa Makambako, Mkoani Njombe wakiwa wamekusanyika kwenye Uwanja wa Polisi Makambako, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa

Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Lawrence Masha akihutubia kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA KATIKA KAMPENI MJINI MAKAMBAKO NA NJOMBE LEO

Umati wa wananchi wa Mji wa Makambako, Mkoani Njombe wakiwa wamekusanyika kwenye Uwanja wa Polisi Makambako, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa

Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Lawrence Masha akihutubia kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA ACT CHAFAYA MKUTANO WA HADHARA NJOMBE NA MAKAMBAKO

 Kiongozi wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe jana, wakati wa ziara ya chama hicho inayoendelea mikoa ya nyanda za juu kusini. Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Samson Mwigamba akiwahutubia wakazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe jana, wakati wa ziara ya chama hicho inayoendelea mikoa ya nyanda za juu kusini. Kiongozi wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT-Wazalendo) Zitto...

 

10 years ago

Michuzi

UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA MAKAMBAKO MKOANI NJOMBE FEBRUARI 23.

Na Chalila Kibuda
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia teknolojia ya uchukuaji wa alama za vidole (BVR) kwa mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe utaanza Februari 23 hadi Machi 1 mwaka huu.
Kwa taarifa iliyotolewa katika vyombo vya habari na Ruth Masham kwa niaba ya Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ilisema zoezi hilo litapita katika kata za Kitisi,Kivavi,Lyamkena,Maguvani,Majengo ,Makambako ,Mji Mwema,Mlowa,na Mwembetogwa na zoezi hilo litaanza majira ya saa 2...

 

11 years ago

GPL

KATIBA IZUIE NDOA ZA UTOTONI BILA KUJALI DINI

SUALA la ndoa za watoto wadogo – chini ya umri wa miaka 18 – limekuwa likiendelea kwa miaka mingi bila kupatiwa ufumbuzi na tumeamua kulizungumzia kutokana na ukweli kuwa Bunge Maalum la Katiba hivi sasa linatengeneza sheria mama mjini Dodoma.   Tatizo hili la ndoa za watoto wadogo, kwa mujibu wa mkanganyiko wa sheria zilizopo, limekuwa likipigiwa kelele bila ufumbuzi kwa zaidi ya miaka 40 sasa tangu kupitishwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TUWAPENDE WATOTO WETU BILA KUJALI WAMEZALIWA NA KASORO GANI

FURAHA YAO NI YETU WOTE, HIVYO TUWAJALI NA KUWASAIDIA.

 

11 years ago

GPL

KATIBA MPYA IZUIE NDOA ZA UTOTONI BILA KUJALI IMANI ZA KIDINI

Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) Valery Msoka.
Na Walusanga Ndaki
SUALA la ndoa za watoto wadogo – chini ya umri wa miaka 18 – limekuwa likiendelea kwa miaka mingi bila kupatiwa ufumbuzi.  Tatizo hili, kwa mujibu wa mkanganyiko wa sheria zilizopo, limekuwa likipigiwa kelele bila ufumbuzi kwa zaidi ya miaka 40 sasa tangu kupitishwa kwa sheria yenye kuruhusu mtoto wa kike kufunga au...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani