KATIBA MPYA IZUIE NDOA ZA UTOTONI BILA KUJALI IMANI ZA KIDINI
Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) Valery Msoka. Na Walusanga Ndaki SUALA la ndoa za watoto wadogo – chini ya umri wa miaka 18 – limekuwa likiendelea kwa miaka mingi bila kupatiwa ufumbuzi. Tatizo hili, kwa mujibu wa mkanganyiko wa sheria zilizopo, limekuwa likipigiwa kelele bila ufumbuzi kwa zaidi ya miaka 40 sasa tangu kupitishwa kwa sheria yenye kuruhusu mtoto wa kike kufunga au...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcJLxegAs*00gE6EfMvOIKMVSc1e2iUX3QXQW-UsyfoHaBGbcHMmTYQL4H4hwFnVMIAXx7tFph3R93Yw8osE3Q9V/ndoakatiba.jpg?width=650)
KATIBA IZUIE NDOA ZA UTOTONI BILA KUJALI DINI
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, chanzo cha ongezeko la mimba na ndoa za utotoni nchini
Mratibu wa Utetezi Taifa, SOS Tanzania/Zanzibar, John Batista, akizungumza katika Mdahalo wa Nijali uliolenga ndoa za utotoni na mimba za utotoni kwa kushirikisha Chama cha Waandishi wa Habari za Watoto, (TAJOC) na wengine, uliofanyika leo katika Hoteli Regency jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale, Modewjiblog.com
Imeelezwa kuwa, kuongezeka kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OM1nQVXWg4E/VYQmjvclSjI/AAAAAAAHhfM/l8eTk9FtXSo/s72-c/1.jpg)
SHERIA YA NDOA YAONGEZA NDOA NA MIMBA ZA UTOTONI
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Sheria ya ndoa kikwazo kukabili ndoa za utotoni
KUFUATANA na sheria ya ndoa ya mwaka 1971, ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanamme na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao. Sheria ya ndoa inasema kuwa...
11 years ago
Dewji Blog13 Apr
Kinana ahutubia bila kujali Mvua Kigoma
-Asisitiza Umoja na Mshikamano Kigoma
-Asema ahadi zote zitatekelezwa
-Awataka Viongozi wa CCM kufanya mikutano mingi na wanachama na wananchi kwa jumla
-Nape afundisha Umma Demokrasia ya kweli, aonyesha namna gani vyama vingi vya upinzani ni wababaishaji atolea mifano namba alivyotelekezwa mgombea wa Chalinze
-Zaidi ya wanachama 350 wajiunga na CCM
![](http://2.bp.blogspot.com/-KcJp3rygzb8/U0mNIuVkoYI/AAAAAAAANGk/KD_xdJ0QzJ0/s1600/6.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Kigoma mjini bila kujali mvua,ambapo alisisitiza kuwa CCM...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Lz_Tjquh0xo/VSoLArexyiI/AAAAAAAHQck/XJ8ZEp2YgcQ/s72-c/unnamed%2B(49).jpg)
ZIITO ATIKISA NJOMBE NA MAKAMBAKO BILA KUJALI MVUA
5 years ago
BBCSwahili03 May
Virusi vya corona: Imani za kidini zinasaidia au zinadidimiza mapambano dhidi ya corona?
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Bila uadilifu katiba mpya ni kiinimacho
RAIS anapochaguliwa kawaida huapishwa kuilinda katiba ya nchi. Katika kumwezesha kukitimiza kiapo hicho hupewa mamlaka makubwa ya uamuzi. Hupatiwa jeshi na zana zote zinazomwezesha kukilinda kiapo chake cha kuilinda katiba...