SHERIA YA NDOA YAONGEZA NDOA NA MIMBA ZA UTOTONI
![](http://2.bp.blogspot.com/-OM1nQVXWg4E/VYQmjvclSjI/AAAAAAAHhfM/l8eTk9FtXSo/s72-c/1.jpg)
Na Mwandishi wetu,Globu ya Jamii KUONGEZEKA kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto zao. Akizungumza na katika mdahalo wa Nijali uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Regency ,Mratibu wa Utetezi Taifa ,SOS Tanzania/Zanzibar ,John Batista amesema kuongezeka kwa mimba za utotoni inatokana na sheria ya ndoa kuendelea kutumika. Amesema kuwa kuendelea kwa mimba za utotoni pamoja kuolewa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, chanzo cha ongezeko la mimba na ndoa za utotoni nchini
Mratibu wa Utetezi Taifa, SOS Tanzania/Zanzibar, John Batista, akizungumza katika Mdahalo wa Nijali uliolenga ndoa za utotoni na mimba za utotoni kwa kushirikisha Chama cha Waandishi wa Habari za Watoto, (TAJOC) na wengine, uliofanyika leo katika Hoteli Regency jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale, Modewjiblog.com
Imeelezwa kuwa, kuongezeka kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto...
10 years ago
Habarileo06 Jun
‘Sheria ya 1971 inachangia ndoa, mimba za utotoni’
SERIKALI imeombwa kuangalia upya Sheria ya mtoto ya mwaka 1971 kwani imebainika kuwa ndio chanzo kimojawapo kinachoruhusu na kuchangia ndoa za utotoni pamoja na mimba za utotoni.
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Sheria ya ndoa kikwazo kukabili ndoa za utotoni
KUFUATANA na sheria ya ndoa ya mwaka 1971, ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanamme na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao. Sheria ya ndoa inasema kuwa...
11 years ago
Mwananchi04 Jul
UTAFITI: ‘Sheria ya elimu inachochea ndoa za utotoni’
10 years ago
MichuziSIKU YA MTOTO WA AFRIKA LEO JUNI 16, 2015 YAFANA BUKOBA IKIBEBA UJUMBE "TOKOMEZA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI - PAMOJA TUNAWEZA"
Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa Juni 16 kila mwaka tangu mwaka 1991 kwa lengo la kuhamasisha jamii kujadili, kutathmini na kuweka mikakati ya kuboresha maisha ya mtoto wa kiafrika kama msingi wa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-g3fkfqmzjBA/VPN81rBbEBI/AAAAAAAHG0o/--NlsHTonD8/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: MKE ASIYE WA NDOA NA MTOTO WA NJE YA NDOA HAWARITHI KISHERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-g3fkfqmzjBA/VPN81rBbEBI/AAAAAAAHG0o/--NlsHTonD8/s1600/law_5.jpg)
Kumekuwepo na utata mkubwa kuhusu urithi wa mali za marehemu hasa inapotokea kuwa marehemu alikuwa na mke zaidi ya mmoja na hapohapo watoto wanaotokana na mama tofauti. Tumeshashuhudia magomvi makubwa misibani lakini pia tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia utitiri wa mashauri kuhusu mkanganyiko wa mali za marehemu ambaye familia yake ni ya watoto wanatokana na mama tofauti. Kutokana na hayo kuna umuhimu mkubwa wa...
10 years ago
Habarileo23 Jan
Graca: Tokomezeni ndoa za utotoni
ALIYEKUWA mke wa Rais wa Afrika Kusini, Graca Machel, yuko katika ziara fupi nchini kuhimiza Serikali na wadau kutokomeza tatizo la ndoa za utotoni.
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Mkutano kukomesha ndoa za utotoni
11 years ago
KwanzaJamii01 Aug
KERO YA NDOA ZA UTOTONI ZAMBIA