SIKU YA MTOTO WA AFRIKA LEO JUNI 16, 2015 YAFANA BUKOBA IKIBEBA UJUMBE "TOKOMEZA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI - PAMOJA TUNAWEZA"
WADAU na wanaharakati wa maendeleo ya watoto leo wanaungana na jamii ya kimataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika kwa kuwahimiza wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuingiza ajenda ya mtoto katika kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa Juni 16 kila mwaka tangu mwaka 1991 kwa lengo la kuhamasisha jamii kujadili, kutathmini na kuweka mikakati ya kuboresha maisha ya mtoto wa kiafrika kama msingi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, chanzo cha ongezeko la mimba na ndoa za utotoni nchini
Mratibu wa Utetezi Taifa, SOS Tanzania/Zanzibar, John Batista, akizungumza katika Mdahalo wa Nijali uliolenga ndoa za utotoni na mimba za utotoni kwa kushirikisha Chama cha Waandishi wa Habari za Watoto, (TAJOC) na wengine, uliofanyika leo katika Hoteli Regency jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale, Modewjiblog.com
Imeelezwa kuwa, kuongezeka kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto...
10 years ago
Michuzi
SHERIA YA NDOA YAONGEZA NDOA NA MIMBA ZA UTOTONI
10 years ago
Habarileo06 Jun
‘Sheria ya 1971 inachangia ndoa, mimba za utotoni’
SERIKALI imeombwa kuangalia upya Sheria ya mtoto ya mwaka 1971 kwani imebainika kuwa ndio chanzo kimojawapo kinachoruhusu na kuchangia ndoa za utotoni pamoja na mimba za utotoni.
10 years ago
MichuziMATUKIO YA MAZISHI YA MHE. SAMUELI NTAMBALA LUANGISA LEO JUMATANO JUNI 3, 2015 KITENDAGURO-BUKOBA.
Mamia ya Waakazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake wakiwemo na Wageni mbalimbali kutoka nje ya Mkoa huu na nje ya Nchi wamejitokeza kwa wingi kumzika marehemu Samuel Luangisa leo Jumatano juni 3, 2015 nyumbani kwake Kitendaguro nje kidogo na Mji wa Bukoba. Marehemu Samuel Luangisa ni miongoni mwa waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi(Kagera) Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na nyadhifa nyingine.

11 years ago
MichuziHALMASHAURI NA WADAU WA JIJI LA MWANZA WAANZA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA KUADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA JUNI 16
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo wazi Duniani 2015, yafana MOI
Meneja Ustawi wa Jamii na Mahusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Jumaa Almasi akizungumza kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Dk, Othman Kiloloma wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo wazi Duniani 2015, aliomba kuitumia siku hiyo kwa kusheherekea siku hiyo adhim amabayo nisiku maalum kwa sababu vijana wetu ambao tunawaongelea leo hi kwetu sisi ni wagonjwa kwa maana yakwamba Tiba yao yote kwa...
11 years ago
Bongo Movies15 Jul
Huu ni ujumbe wa Kajala kwenda kwa mtoto wake leo kwenye siku ya kuzaliwa kwa binti yake huyo.
Miaka 12 iliyopita sikuwahi kujua kama itafikia siku nitajisikia hiki ninachofeel siku ya leo.. nimepitia mambo mengi sana na wewe.. nimepata shida nyingi mno lakini sikukuacha wala kukutupa.. kwenye jua ama mvua, iwe usiku ama mchana katika mitihani yote niliyopitia nilikuwa na wewe tu mwanangu.. ulikuwa kama pochi yangu.. bila kujua kesho utakuwa NANI!! nilikupenda tangu siku ya kwanza nakuona.. nilikuthamini na kuahidi nafsi yangu kuwa nitakufa na wewe katika hali yoyote ile bila kujua...
10 years ago
Dewji Blog18 Jan
Siku ya Posta Barani Afrika kuadhimishwa leo Januari 18, 2015
*Wafanyakazi watoa misaada kwa wazee wa Nunge, Kigamboni
*Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kawawa watembelea Ofisi za Posta Kuu (Mpya), Dar es Salaam
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kawawa, Luhanga Mabibo, wakipatiwa maelezo kuhusu uchambuzi wa barua na vifurushi na Ester Zakayo wa Kitengo cha Box, wakati walipotembelea Posta Kuu, Dar es Salaam jana, ikiwa ni katika maadhimisho ya Siku ya Posta Afrika, inayoadhimishwa nchini leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk- www.bayana.blogspot.com).
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA TEMEKE NDUGU SOPHIA MJEMA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA SIKU 5 YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI WILAYANI TEMEKE