Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATUKIO YA MAZISHI YA MHE. SAMUELI NTAMBALA LUANGISA LEO JUMATANO JUNI 3, 2015 KITENDAGURO-BUKOBA.

Na Faustine Ruta, Bukoba
Mamia ya Waakazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake wakiwemo na Wageni mbalimbali kutoka nje ya Mkoa huu na nje ya Nchi wamejitokeza kwa wingi kumzika marehemu Samuel Luangisa leo Jumatano juni 3, 2015 nyumbani kwake Kitendaguro nje kidogo na Mji wa Bukoba. Marehemu Samuel Luangisa ni miongoni mwa waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi(Kagera) Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na nyadhifa nyingine.
Mbunge wa muleba...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM KOMREDI KINANA AHANI MSIBA WA MAREHEMU MHE.SAMUEL LUANGISA MJINI BUKOBA LEO

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akitia saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo ya Marehemu Jaji Mstaafu Samuel Luangisa nyumbani kwake kwa marehemu Kitendagulo,mjini Bukoba mkoani Kagera.Marehemu Luangisa ni miongoni  mwa Waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti tofauti alikuwa mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi (Kagera),Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na nyadhifa nyingine.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye kaburi la...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. SAMWELI NTAMBALA LWANGISA AZIKWA MJINI BUKOBA

Na Faustine Ruta, BukobaMamia ya Wakazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake wakiwemo na Wageni mbalimbali kutoka nje ya Mkoa huu na nje ya Nchi wamejitokeza kwa wingi kumzika marehemu Samuel Luangisa jana Jumatano juni 3, 2015 nyumbani kwake Kitendaguro nje kidogo na Mji wa Bukoba. Marehemu Samuel Luangisa ni miongoni mwa waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na nyadhifa nyingine.Mbunge wa Muleba Kusini Prof...

 

10 years ago

Vijimambo

MAZISHI YA SAMUEL LUANGISA,MBUNGE NA MEYA WA ZAMANI WA BUKOBA MAJONZI YATAWALA

Mazishi ya Mpigania Uhuru wa Tanganyika na Mbunge wa Bukoba na Meya wa Manispaa hiyo wa zamani mzee Samuel Luangisa  yafanyika kijijini kwake Kitendaguro nje kidogo ya mji wa Bukoba.Mkongwe huyo wa siasa alikutwa na mauti wakati akiwa kwenye matibabu nchini Marekani. Mzee Luangisa alifariki siku ya tarehe 27 mwezi wa 5 na misa na kumuaga vilifanyika siku ya tarehe 2. Picha kwa hisani ya Harakanews.com

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA MTOTO WA AFRIKA LEO JUNI 16, 2015 YAFANA BUKOBA IKIBEBA UJUMBE "TOKOMEZA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI - PAMOJA TUNAWEZA"

WADAU na wanaharakati wa maendeleo ya watoto leo wanaungana na jamii ya kimataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika kwa kuwahimiza wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuingiza ajenda ya mtoto katika kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa Juni 16 kila mwaka tangu mwaka 1991 kwa lengo la kuhamasisha jamii kujadili, kutathmini na kuweka mikakati ya kuboresha maisha ya mtoto wa kiafrika kama msingi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Treni ya kwenda Bara yaahirishwa hadi kesho Jumatano Juni 10, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika kuwataarifu wananchi na abiria waliokuwa wasafiri na treni ya leo Juni 09, 2015 kutoka Dar es Salaam kwenda bara kuwa safari hiyo imeahirishwa hadi kesho Jumatano saa 11 jioni.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo sababu za kuahirishwa safari hiyo ni ajali ya treni ya mizigo iliyotokea usiku wa kuamkia leo Jumanne Juni 09, 2015 maeneo ya Stesheni za Ngeta na Ruvu mkoani Pwani ambapo mabehewa matano yenye shehena ya sukari yameanguka...

 

5 years ago

CCM Blog

5 years ago

CCM Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani