UTAFITI: ‘Sheria ya elimu inachochea ndoa za utotoni’
>Ofisa Elimu na Michezo Wilaya ya Kusini Unguja, Nassor Simba Hassan amesema sheria ya elimu inachangia wazee kuwaozesha vijana wao walio chini ya miaka 18.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, chanzo cha ongezeko la mimba na ndoa za utotoni nchini
Mratibu wa Utetezi Taifa, SOS Tanzania/Zanzibar, John Batista, akizungumza katika Mdahalo wa Nijali uliolenga ndoa za utotoni na mimba za utotoni kwa kushirikisha Chama cha Waandishi wa Habari za Watoto, (TAJOC) na wengine, uliofanyika leo katika Hoteli Regency jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale, Modewjiblog.com
Imeelezwa kuwa, kuongezeka kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto...
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Sheria ya ndoa kikwazo kukabili ndoa za utotoni
KUFUATANA na sheria ya ndoa ya mwaka 1971, ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanamme na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao. Sheria ya ndoa inasema kuwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OM1nQVXWg4E/VYQmjvclSjI/AAAAAAAHhfM/l8eTk9FtXSo/s72-c/1.jpg)
SHERIA YA NDOA YAONGEZA NDOA NA MIMBA ZA UTOTONI
10 years ago
Habarileo06 Jun
‘Sheria ya 1971 inachangia ndoa, mimba za utotoni’
SERIKALI imeombwa kuangalia upya Sheria ya mtoto ya mwaka 1971 kwani imebainika kuwa ndio chanzo kimojawapo kinachoruhusu na kuchangia ndoa za utotoni pamoja na mimba za utotoni.
10 years ago
Dewji Blog01 Sep
Utafiti waibua makubwa ngono za utotoni Dar
Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni Mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili, Kitengo cha magonjwa na afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha SAMPULI tathmini ya matokeo ya mradi wa PREPARE uliokuwa na lengo la kuangalia uwezekano wa vijana kupunguza ngono mwishoni mwa wiki kwenye kituo cha maelezo ya afya Muhimbili katika idara ya magonjwa ya akili. Kulia ni Mtathmini kiongozi wa mradi huo, Mrema...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/DSC_01401.jpg)
UTAFITI WAIBUA MAKUBWA NGONO ZA UTOTONI DAR
10 years ago
Michuzi01 Sep
UTAFITI WAIBUA MAKUBWA NGONO ZA UTOTONI JIJINI DAR
![DSC_0140](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/DSC_01401.jpg)
10 years ago
Habarileo23 Jan
Graca: Tokomezeni ndoa za utotoni
ALIYEKUWA mke wa Rais wa Afrika Kusini, Graca Machel, yuko katika ziara fupi nchini kuhimiza Serikali na wadau kutokomeza tatizo la ndoa za utotoni.
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Ndoa za utotoni janga Tanzania