Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheria ya ndoa kikwazo kukabili ndoa za utotoni

KUFUATANA na sheria ya ndoa ya mwaka 1971, ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanamme na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao. Sheria ya ndoa inasema kuwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, chanzo cha ongezeko la mimba na ndoa za utotoni nchini

x

Mratibu wa Utetezi Taifa, SOS Tanzania/Zanzibar, John Batista, akizungumza katika Mdahalo wa Nijali uliolenga ndoa za utotoni na mimba za utotoni  kwa kushirikisha Chama cha Waandishi wa Habari za Watoto, (TAJOC) na wengine, uliofanyika leo katika Hoteli Regency jijini Dar es Salaam.

Na Andrew Chale, Modewjiblog.com

Imeelezwa kuwa, kuongezeka kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto...

 

10 years ago

Michuzi

SHERIA YA NDOA YAONGEZA NDOA NA MIMBA ZA UTOTONI

Na Mwandishi wetu,Globu ya Jamii KUONGEZEKA kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto zao. Akizungumza na katika mdahalo wa Nijali uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Regency ,Mratibu wa Utetezi Taifa ,SOS Tanzania/Zanzibar ,John Batista amesema  kuongezeka kwa mimba za utotoni inatokana na sheria ya ndoa kuendelea kutumika. Amesema kuwa kuendelea kwa mimba za utotoni pamoja kuolewa...

 

10 years ago

Habarileo

‘Sheria ya 1971 inachangia ndoa, mimba za utotoni’

SERIKALI imeombwa kuangalia upya Sheria ya mtoto ya mwaka 1971 kwani imebainika kuwa ndio chanzo kimojawapo kinachoruhusu na kuchangia ndoa za utotoni pamoja na mimba za utotoni.

 

11 years ago

Mwananchi

UTAFITI: ‘Sheria ya elimu inachochea ndoa za utotoni’

>Ofisa Elimu na Michezo Wilaya ya Kusini Unguja, Nassor Simba Hassan amesema sheria ya elimu inachangia wazee kuwaozesha vijana wao walio chini ya miaka 18.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MKE ASIYE WA NDOA NA MTOTO WA NJE YA NDOA HAWARITHI KISHERIA

Na  Bashir  Yakub.
Kumekuwepo  na utata  mkubwa  kuhusu  urithi  wa  mali  za  marehemu  hasa  inapotokea  kuwa  marehemu  alikuwa  na  mke   zaidi  ya mmoja  na  hapohapo  watoto  wanaotokana  na  mama  tofauti.  Tumeshashuhudia  magomvi  makubwa  misibani   lakini  pia  tumeshuhudia  na  tunaendelea kushuhudia  utitiri  wa mashauri  kuhusu  mkanganyiko  wa  mali za marehemu ambaye  familia  yake  ni  ya watoto  wanatokana  na  mama  tofauti. Kutokana  na  hayo  kuna umuhimu  mkubwa  wa...

 

11 years ago

KwanzaJamii

KERO YA NDOA ZA UTOTONI ZAMBIA

Takriban wasichana milioni 14 million kote duniani wanalazimishwa kuolewa wakiwa wadogo Agnes, msichana wa miaka 17 aliozwa miezi mitatu iliyopita kwa mwanamme ambaye hakua anamfahamu hata kidogo. Anavyotusimulia Agnes, “Wazazi wangu walinikalisha na kuniarifu kuwa sikua jukumu lao tena. Walitaka nijitenge nao na kuanza maisha kivyangu.Mambo yalikwenda haraka kinyume na matarajio yangu wakati mwanamme huyo ambaye simfahamu alilipa mahari kwa wazazi wangu.” “Sikua na usemi wowote kwenye...

 

10 years ago

Habarileo

Graca: Tokomezeni ndoa za utotoni

Graca MachelALIYEKUWA mke wa Rais wa Afrika Kusini, Graca Machel, yuko katika ziara fupi nchini kuhimiza Serikali na wadau kutokomeza tatizo la ndoa za utotoni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndoa za utotoni janga Tanzania

Tanzania ni moja ya nchi zinaoongoza kwa mimba na ndoa za utotoni, kwa mujibu wa Shirika la Haki za Binadamu duniani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mkutano kukomesha ndoa za utotoni

Umoja wa Afrika leo unaanza mkutano wa siku mbili utakaofanyika Zambia kukomesha ndoa za utotoni barani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani