Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Graca: Tokomezeni ndoa za utotoni

Graca MachelALIYEKUWA mke wa Rais wa Afrika Kusini, Graca Machel, yuko katika ziara fupi nchini kuhimiza Serikali na wadau kutokomeza tatizo la ndoa za utotoni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Graca Machel, Waziri Kairuki walia na ndoa za utotoni

 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki akisalimiana na Mke wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini na mwanaharakai wa haki za wanawake na watoto Bi. Graca Machel jijini Dar es Salaam jana (Jumatano, Januari 21, 2014). Wengine ni wadau kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto, Shirika la Umoja wa Mataifa Linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA)Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (kushoto) akiongea...

 

10 years ago

Dewji Blog

Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, chanzo cha ongezeko la mimba na ndoa za utotoni nchini

x

Mratibu wa Utetezi Taifa, SOS Tanzania/Zanzibar, John Batista, akizungumza katika Mdahalo wa Nijali uliolenga ndoa za utotoni na mimba za utotoni  kwa kushirikisha Chama cha Waandishi wa Habari za Watoto, (TAJOC) na wengine, uliofanyika leo katika Hoteli Regency jijini Dar es Salaam.

Na Andrew Chale, Modewjiblog.com

Imeelezwa kuwa, kuongezeka kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto...

 

10 years ago

Michuzi

SHERIA YA NDOA YAONGEZA NDOA NA MIMBA ZA UTOTONI

Na Mwandishi wetu,Globu ya Jamii KUONGEZEKA kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto zao. Akizungumza na katika mdahalo wa Nijali uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Regency ,Mratibu wa Utetezi Taifa ,SOS Tanzania/Zanzibar ,John Batista amesema  kuongezeka kwa mimba za utotoni inatokana na sheria ya ndoa kuendelea kutumika. Amesema kuwa kuendelea kwa mimba za utotoni pamoja kuolewa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sheria ya ndoa kikwazo kukabili ndoa za utotoni

KUFUATANA na sheria ya ndoa ya mwaka 1971, ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanamme na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao. Sheria ya ndoa inasema kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndoa za utotoni janga Tanzania

Tanzania ni moja ya nchi zinaoongoza kwa mimba na ndoa za utotoni, kwa mujibu wa Shirika la Haki za Binadamu duniani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mkutano kukomesha ndoa za utotoni

Umoja wa Afrika leo unaanza mkutano wa siku mbili utakaofanyika Zambia kukomesha ndoa za utotoni barani.

 

11 years ago

KwanzaJamii

KERO YA NDOA ZA UTOTONI ZAMBIA

Takriban wasichana milioni 14 million kote duniani wanalazimishwa kuolewa wakiwa wadogo Agnes, msichana wa miaka 17 aliozwa miezi mitatu iliyopita kwa mwanamme ambaye hakua anamfahamu hata kidogo. Anavyotusimulia Agnes, “Wazazi wangu walinikalisha na kuniarifu kuwa sikua jukumu lao tena. Walitaka nijitenge nao na kuanza maisha kivyangu.Mambo yalikwenda haraka kinyume na matarajio yangu wakati mwanamme huyo ambaye simfahamu alilipa mahari kwa wazazi wangu.” “Sikua na usemi wowote kwenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lawama haitoshi kwa ndoa za utotoni

KWA miaka nenda miaka rudi sasa imekuwa ni kawaida panapokaribia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuona sherehe za harusi zimetanda karibu kila pembe ya Zanzibar. Watu hufurahi na kula mapochopocho na...

 

10 years ago

Mwananchi

Ndoa za utotoni bado ni janga nchini

Wakati watoto wenzake wakijiandaa kwenda shule asubuhi, Julian Marwa (14) mkazi wa Kijiji cha Nyamwaga wilayani Tarime, Mara, yuko nyumbani akiandaa chai kwa ajili ya mume wake ambaye ni mtu mzima wa miaka 45.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani