KATIBA IZUIE NDOA ZA UTOTONI BILA KUJALI DINI
![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcJLxegAs*00gE6EfMvOIKMVSc1e2iUX3QXQW-UsyfoHaBGbcHMmTYQL4H4hwFnVMIAXx7tFph3R93Yw8osE3Q9V/ndoakatiba.jpg?width=650)
SUALA la ndoa za watoto wadogo – chini ya umri wa miaka 18 – limekuwa likiendelea kwa miaka mingi bila kupatiwa ufumbuzi na tumeamua kulizungumzia kutokana na ukweli kuwa Bunge Maalum la Katiba hivi sasa linatengeneza sheria mama mjini Dodoma.  Tatizo hili la ndoa za watoto wadogo, kwa mujibu wa mkanganyiko wa sheria zilizopo, limekuwa likipigiwa kelele bila ufumbuzi kwa zaidi ya miaka 40 sasa tangu kupitishwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLKATIBA MPYA IZUIE NDOA ZA UTOTONI BILA KUJALI IMANI ZA KIDINI
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, chanzo cha ongezeko la mimba na ndoa za utotoni nchini
Mratibu wa Utetezi Taifa, SOS Tanzania/Zanzibar, John Batista, akizungumza katika Mdahalo wa Nijali uliolenga ndoa za utotoni na mimba za utotoni kwa kushirikisha Chama cha Waandishi wa Habari za Watoto, (TAJOC) na wengine, uliofanyika leo katika Hoteli Regency jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale, Modewjiblog.com
Imeelezwa kuwa, kuongezeka kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OM1nQVXWg4E/VYQmjvclSjI/AAAAAAAHhfM/l8eTk9FtXSo/s72-c/1.jpg)
SHERIA YA NDOA YAONGEZA NDOA NA MIMBA ZA UTOTONI
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Sheria ya ndoa kikwazo kukabili ndoa za utotoni
KUFUATANA na sheria ya ndoa ya mwaka 1971, ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanamme na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao. Sheria ya ndoa inasema kuwa...
11 years ago
Dewji Blog13 Apr
Kinana ahutubia bila kujali Mvua Kigoma
-Asisitiza Umoja na Mshikamano Kigoma
-Asema ahadi zote zitatekelezwa
-Awataka Viongozi wa CCM kufanya mikutano mingi na wanachama na wananchi kwa jumla
-Nape afundisha Umma Demokrasia ya kweli, aonyesha namna gani vyama vingi vya upinzani ni wababaishaji atolea mifano namba alivyotelekezwa mgombea wa Chalinze
-Zaidi ya wanachama 350 wajiunga na CCM
![](http://2.bp.blogspot.com/-KcJp3rygzb8/U0mNIuVkoYI/AAAAAAAANGk/KD_xdJ0QzJ0/s1600/6.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Kigoma mjini bila kujali mvua,ambapo alisisitiza kuwa CCM...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Lz_Tjquh0xo/VSoLArexyiI/AAAAAAAHQck/XJ8ZEp2YgcQ/s72-c/unnamed%2B(49).jpg)
ZIITO ATIKISA NJOMBE NA MAKAMBAKO BILA KUJALI MVUA
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-6qThBqLSmxY/VLCqm62OwxI/AAAAAAADVIg/ZruchJxBxh4/s72-c/10906308_10152680537202659_5784232182740264257_n.jpg)
TUWAPENDE WATOTO WETU BILA KUJALI WAMEZALIWA NA KASORO GANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-6qThBqLSmxY/VLCqm62OwxI/AAAAAAADVIg/ZruchJxBxh4/s1600/10906308_10152680537202659_5784232182740264257_n.jpg)
5 years ago
MichuziMAJALIWA: ATAKAYETHIBITIKA NA CORONA APELEKWE ENEO MAALUMU BILA KUJALI CHEO
Amewataka Watanzania wazingatie masharti ya afya kwa kufuata ushauri unaotolewa na Serikali kwa sababu hivi sasa nchi yetu na dunia kwa ujumla inapitia katika kipindi kigumu pia,waendelee kupuuza taarifa za uzushi zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii.
Waziri Mkuu...