Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana ahutubia bila kujali Mvua Kigoma

-Asisitiza Umoja na Mshikamano Kigoma

-Asema ahadi zote zitatekelezwa

-Awataka Viongozi wa CCM kufanya mikutano mingi na wanachama na wananchi kwa jumla

-Nape afundisha Umma Demokrasia ya kweli, aonyesha namna gani vyama vingi vya upinzani ni wababaishaji atolea mifano namba alivyotelekezwa mgombea wa Chalinze

-Zaidi ya wanachama 350 wajiunga na CCM

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Kigoma mjini bila kujali mvua,ambapo alisisitiza kuwa CCM...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TANO MKOANI KIGOMA,AHUTUBIA HUKU MVUA KUBWA IKINYESHA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Kigoma mjini bila kujali mvua,ambapo alisisitiza kuwa CCM itatekeleza kila walichoahidi. Kila mtu alijikinga na mvua kwenye uwanja wa Mwanga Community Centre Viti vikitumika kujikinga na mvua iliyokuwa inanyesha wakati wa mkutano wa CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Mwanga Community Centre wilaya ya Kigoma mjini. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (wa kwanza...

 

10 years ago

Michuzi

ZIITO ATIKISA NJOMBE NA MAKAMBAKO BILA KUJALI MVUA

Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kuitisha Bunge Maalum haraka iwezekanavyo ili ili liweze kufanya marekesho madogo ya katika ili kuruhusu uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki. Kauli hiyo imetolewa na CHAMA cha Alliance For Change and Transparency (ACT-Wazalendo), wakati akizungumza kwa nyakati tofauti Mkoani Njombe na Mji Mdogo wa Makambako wakati wa ziara ya chama hicho ya kuimarisha chama hicho mikoani. Akizungumza katika mkutano wa hadhara Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Anna Mghwira, alisema...

 

11 years ago

GPL

KATIBA IZUIE NDOA ZA UTOTONI BILA KUJALI DINI

SUALA la ndoa za watoto wadogo – chini ya umri wa miaka 18 – limekuwa likiendelea kwa miaka mingi bila kupatiwa ufumbuzi na tumeamua kulizungumzia kutokana na ukweli kuwa Bunge Maalum la Katiba hivi sasa linatengeneza sheria mama mjini Dodoma.   Tatizo hili la ndoa za watoto wadogo, kwa mujibu wa mkanganyiko wa sheria zilizopo, limekuwa likipigiwa kelele bila ufumbuzi kwa zaidi ya miaka 40 sasa tangu kupitishwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TUWAPENDE WATOTO WETU BILA KUJALI WAMEZALIWA NA KASORO GANI

FURAHA YAO NI YETU WOTE, HIVYO TUWAJALI NA KUWASAIDIA.

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA: ATAKAYETHIBITIKA NA CORONA APELEKWE ENEO MAALUMU BILA KUJALI CHEO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesisitiza kuwa mtu yeyote akithibitika kuwa na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) apelekwe eneo maalum bila kujali cheo chake na atalala palipoandaliwa.

Amewataka Watanzania wazingatie masharti ya afya kwa kufuata ushauri unaotolewa na Serikali kwa sababu hivi sasa nchi yetu na dunia kwa ujumla inapitia katika kipindi kigumu pia,waendelee kupuuza taarifa za uzushi zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii.

Waziri Mkuu...

 

11 years ago

GPL

KATIBA MPYA IZUIE NDOA ZA UTOTONI BILA KUJALI IMANI ZA KIDINI

Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) Valery Msoka.
Na Walusanga Ndaki
SUALA la ndoa za watoto wadogo – chini ya umri wa miaka 18 – limekuwa likiendelea kwa miaka mingi bila kupatiwa ufumbuzi.  Tatizo hili, kwa mujibu wa mkanganyiko wa sheria zilizopo, limekuwa likipigiwa kelele bila ufumbuzi kwa zaidi ya miaka 40 sasa tangu kupitishwa kwa sheria yenye kuruhusu mtoto wa kike kufunga au...

 

9 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yatangaza fursa sawa ya ajira kwa watanzania bila kujali mipaka

 Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu wa benki ya Exim Tanzania  Bw. Frederick Kanga (katikati) akimfanyia usahili mmoja wa watanzania anayeishi nchini Marekani Bw. Paul Rupia mara baada ya Mkutano wa Uajiri barani  Afrika (Career Africa Recruitment Summit 2015) uliofanyika mjini New York, Marekani hivi karibuni. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo Bw Dinesh Arora. Benki hiyo imeahidi kutoa fursa sawa za ajira kwa Watanzania wote wakiwemo wale wanaoishi nje ya nchi ili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani