Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti: Kulala bila nguo kunapunguza uwezekeno wa kupata kisukari

Utafiti mpya uliotolewa nchini Marekani, umebainisha kuwa watu wanaopenda kulala bila nguo wanapata faida nyingi ikiwamo ya kuwa na uwezekano mdogo wa kupata ugonjwa wa kisukari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Tunda linalotibu kisukari lafanyiwa utafiti

Rose AppleKITUO cha Utafiti wa Kilimo Mikocheni, kimeanza kulifanyia utafiti tunda aina ya ‘rose apple’ ambalo limeelezwa lina uwezo wa kutibu dalili za kisukari na lina vitamin B na C.

 

11 years ago

Mwananchi

Utafiti: Ugonjwa wa kisukari ni tishio kwa wengi

>Mpangilio mbovu wa lishe, kutokufanya mazoezi na wananchi kushindwa kujitokeza kupima afya mara kwa mara ni miongoni mwa sababu zinazochangia kuongezeka kwa wagonjwa wa kisukari na shinikizo la damu.

 

9 years ago

Mtanzania

Kardashian ahofia kupata kisukari

kim-kardashianNEW YORK, MAREKANI

MKE wa Kanye West, Kim Kardashian, amehofia kupata ugonjwa wa kisukari kutokana na ulaji wake wa ovyo wa vyakula vya aina mbalimbali kipindi hiki cha ujauzito wake.

Mrembo huyo anatarajia kupata mtoto wa pili kabla ya Desemba 26.

“Ninaamini nina afya njema, lakini kuna wakati najikuta nakula bila mpangilio hivyo naweza kupata ugonjwa wa sukari, ninaamini hali hii inatokana na ujauzito na ndiyo maana muda mwingi natamani kula,” alisema Kim.

Hata hivyo, mrembo huyo atakuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

MISA-TAN:Yasherekea Siku ya Kimataifa ya Haki ya kupata taarifa na kuzindua utafiti wa kupata taarifa Ofisi za Umma

Afisa Utafiti na Maelezo wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Sengiyumva Gasirigwa (wa kwanza kushoto) akitoa ufafanuzi alipokuwa anafungua mkutano huo kwa waandishi wa habari na wageni waalikwa kutoka kwenye taasisi mbalimbali za Serikali kwenye siku ya kimataifa ya haki ya kupata taarifa ambayo uadhimishwa Septemba 28 kwa kila mwaka.

Mwenyekiti msaidi wa Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN), Bwana...

 

11 years ago

Mwananchi

Utafiti: Nguo za kubana zinaweza kusababisha saratani

> Kadiri siku zinavyokwenda kumekuwapo na ugunduzi wa vitu mbalimbali vinavyochangia kuleta mabadiliko katika jamii.Mabadiliko hayo yanaweza kuwa hasi au chanya kutegemea na aina ya  bidhaa iliyogunduliwa na matumizi yake.

 

10 years ago

GPL

MREMBO: NIMESALI BILA NGUO FREEMASON

Stori: Chande Abdallah, Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani/Amani
INATOSHA! Mrembo, Happiness Wilfred Nassari (27), ameibuka na kudai kuwa amekuwa akisali bila nguo kwenye ibada ya imani ya Freemason inayosifika kwa ushirikina. Mrembo, Happiness Wilfred Nassari (27) anayedai kushiriki imani ya kifreemason. Katika mahojiano yaliyofanyika hivi karibuni ndani ya chumba cha habari, makao makuu ya gazeti hili Bamaga, Mwenge… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kliniki za kisukari kutoa huduma jumuishi kwa wagonjwa wa kisukari nchini India

Image 1

from left to Right – Sangita Reddy, Chairperson, Apollo Sugar and Joint Managing Director, Apollo Hospitals, Christopher A. Viehbacher, Chief Executive Officer, Sanofi, Dr. Prathap Reddy, Chairman – Apollo Hospitals Group and Dr. Deepak Chopra, Renowned Global Spiritual Guru.

Hospitali maarufu za kimataifa za Apollo ambazo zimeazimia kufungua hospitali na kliniki mbali mbali nchini, hivi karibuni zimetangaza uamuazi wake wa kushirikiana na Sanofi katika upanuzi wa Kliniki za Kisukari za...

 

11 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA & UTAFITI: Namna ya kupata ufadhili wa masomo au miradi

>Hongera ndugu yangu kwa kufika mwaka mpya wa 2014, ni suala la kumshukuru Mungu maana kuna wenzetu wengi ambao walikuwa na shauku ya kuingia mwaka huu lakini wameshindwa, wengine wamepatwa na mikasa mizito iliyoharibu kabisa ndoto zao.

 

10 years ago

Mwananchi

Watafukuzwa mawaziri wote bila kupata tiba

Katika kampeni za Uchaguzi Mkuu, tangu mwaka 2000 na 2010, nilipata bahati ya kuhudhuria baadhi ya mikutano ya kampeni za wagombea wa urais karibu wa vyama vyote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani