Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunda linalotibu kisukari lafanyiwa utafiti

Rose AppleKITUO cha Utafiti wa Kilimo Mikocheni, kimeanza kulifanyia utafiti tunda aina ya ‘rose apple’ ambalo limeelezwa lina uwezo wa kutibu dalili za kisukari na lina vitamin B na C.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Utafiti: Ugonjwa wa kisukari ni tishio kwa wengi

>Mpangilio mbovu wa lishe, kutokufanya mazoezi na wananchi kushindwa kujitokeza kupima afya mara kwa mara ni miongoni mwa sababu zinazochangia kuongezeka kwa wagonjwa wa kisukari na shinikizo la damu.

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti: Kulala bila nguo kunapunguza uwezekeno wa kupata kisukari

Utafiti mpya uliotolewa nchini Marekani, umebainisha kuwa watu wanaopenda kulala bila nguo wanapata faida nyingi ikiwamo ya kuwa na uwezekano mdogo wa kupata ugonjwa wa kisukari.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kliniki za kisukari kutoa huduma jumuishi kwa wagonjwa wa kisukari nchini India

Image 1

from left to Right – Sangita Reddy, Chairperson, Apollo Sugar and Joint Managing Director, Apollo Hospitals, Christopher A. Viehbacher, Chief Executive Officer, Sanofi, Dr. Prathap Reddy, Chairman – Apollo Hospitals Group and Dr. Deepak Chopra, Renowned Global Spiritual Guru.

Hospitali maarufu za kimataifa za Apollo ambazo zimeazimia kufungua hospitali na kliniki mbali mbali nchini, hivi karibuni zimetangaza uamuazi wake wa kushirikiana na Sanofi katika upanuzi wa Kliniki za Kisukari za...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,antibiotics husababisha kisukari?

Wagonjwa wanaotibiwa na antibiotics mara kwa mara huenda wakakabiliwa na hatari ya kupatwa na ugonjwa wa kisukari

 

10 years ago

GPL

FAHAMU KINACHOSABABISHA KISUKARI-4

NA DK. A. MANDAI USHAURI SIMU: +255 717 961795                           +255 754 391743 LEO katika makala haya tutaeleza dalili za kisukari na  wiki ijayo tutafafanua madhara yake. Endelea.
Mgonjwa pia anaweza kuona dalili ya kuchoka haraka, kupungua uzito, vipele mwilini ambavyo kitaalamu huitwa diabetic dermadromes. Wagonjwa wa kisukari pia huwa katika hatari ya kupata maambukizi...

 

10 years ago

Vijimambo

JE, ANTIBIOTICS HUSABABISHA KISUKARI


Dawa za antibiotics
Wagonjwa wanaotibiwa na dawa za viuavijasumu ama antibiotics mara kwa mara huenda wakakabiliwa na hatari ya kupatwa na aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari ,watafiti wamegundua.
Utafiti uliochapishwa na Jarida la utafiti wa damu ulifuatilia dawa zinazopewa mamilioni ya wagonjwa nchini Uingereza.Waanzilishi wa utafiti huo wanasema kuwa matokeo ya utafiti huo hayamaanishi kwamba dawa hizo husababisha kisukari ,na badala yake maambukizi huenda ni ishara za mapema kwamba mtu...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA KISUKARI YAADHIMISHWA ZANZIBAR

Wanachama wa Jumiya ya Watu wanaoishi na maradhi ya kisukari Zanzibar na wafanyakazi wa kitengo cha maradhi hayo kutoka Hospitali Kuu ya Mnazimmoja wakiwa kwenye maandamano ya kuadhimisha siku ya kisukari Duniani yaliyoanzia viwanja vya Maisara na kumalia viwanja vya Malindi Novemba 14. Wanachama wa Jumuiya hiyo wakionyesha bango lenye ujumbe mahasusi wa kimataifa wa siku ya kisukari Duniani katika maandamano ya kuadhimisha siku hiyo Novemba 14. Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit...

 

10 years ago

GPL

KINACHOSABABISHA KISUKARI, MADHARA NA TIBA-2

TULIANZA wiki iliyopita kueleza kinachosababisha mtu kupata ugonjwa wa kisukari. Endelea: Seli maalumu zinazotengeneza homoni ya insulin zinapokosekana katika tezi kongosho au zinapoharibika kutokana na sababu yoyote ile husababisha ukosefu kabisa au upungufu wa kichocheo hicho kwenye damu. Mambo yanayoweza kusababisha uharibifu wa seli hizi katika tezi kongosho ni pamoja na kushambuliwa tezi hizo kunakoweza kufanywa na magonjwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Ugonjwa wa kisukari waahirisha kesi

Na Maneno Selanyika, Dar es Salaam

KESI ya kumtesa mfanyakazi wa ndani inayomkabili Wakili wa kujitegemea, Yasinta Rwechungura (44), inaendelea leo baada ya kuahirishwa jana kutokana na Wakili wa Utetezi kusumbuliwa na kisukari. Akitoa sababu ya kuahirishwa kesi mahakamani hapo, Wakili wa utetezi, Benitho Mandele, alisema anasumbuliwa na kisukari hivyo asingeweza kusikiliza kesi hiyo. “Mheshimiwa mimi nipo tayari kumwakilisha mtuhumiwa ila ugonjwa huu unatokea wakati wowote na kwa sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani