FAHAMU KINACHOSABABISHA KISUKARI-4
![](http://api.ning.com:80/files/7X1wIOHFtrzHosnOf4sTWA8Glkrf1ktwl*g5m4JPFWI*WQCddaE4zlqShhinjLBCDvtH8qESb0kwmg*Gb8uWG7PGohyNC3tT/mainsymptomsofdiabetes_1.png?width=650)
NA DK. A. MANDAI USHAURI SIMU: +255 717 961795              +255 754 391743 LEO katika makala haya tutaeleza dalili za kisukari na wiki ijayo tutafafanua madhara yake. Endelea. Mgonjwa pia anaweza kuona dalili ya kuchoka haraka, kupungua uzito, vipele mwilini ambavyo kitaalamu huitwa diabetic dermadromes. Wagonjwa wa kisukari pia huwa katika hatari ya kupata maambukizi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wjLHhX7eljyXFZ2cc2FEKJDZAhfEkWXBvOWRjS1d2WOx3dssymeB87Osb5EE3ABppfVPu*FS8SLMVc0EkQ66kx5y9yji1*XA/kisukari.png)
KINACHOSABABISHA KISUKARI, MADHARA NA TIBA-3
10 years ago
GPLKINACHOSABABISHA KISUKARI, MADHARA NA TIBA-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR47yBm5ZYSQALfHr**RAQQRy*wRLtKBaeIqosIZWDOZYNG6XPYKrq2-QKemLImGUz7doWVYNkionutdxQEq-0Ro/pregnantwomanatdoctor.jpg)
FAHAMU KINACHOSABABISHA KUTOSHIKA MIMBA-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wElhaJF9fXI85GHmg1yhfSHjJ5nCT1bK82quspxwoYf5tTqxk7EyotOxfsgpemFO0-T2xnwLSpeofJgFixCO5ZyEKKun4U0u/the_new_miscarriage_mandate.jpg?width=650)
FAHAMU KINACHOSABABISHA KUTOSHIKA MIMBA
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Fahamu kinachosababisha kiharusi (Stroke)
Kiharusi kinampata binadamu baada ya eneo la ubongo kukosa damu kwa saa 24 ama zaidi au kunapotokea kizuizi cha damu au mishipa ya damu kushindwa kusafirisha damu au mshipa huo unapopasuka.
Kiharusi kimegawanyika katika aina kuu mbili kulingana na jinsi kinavyotokea, kwanza ni:
1. Kiharusi cha kukosa hewa kwenye ubongo kitaalamu huitwa Ischemic Stroke.
Aina hii ya kiharusi hutokea iwapo usambazaji wa damu katika sehemu ya ubongo hupungua na kusababisha tishu za ubongo za eneo lililoathirika...
9 years ago
Mwananchi20 Nov
Fahamu kinachosababisha maumivu ya kichwa, harara, kiungulia mara kwa mara
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Kliniki za kisukari kutoa huduma jumuishi kwa wagonjwa wa kisukari nchini India
from left to Right – Sangita Reddy, Chairperson, Apollo Sugar and Joint Managing Director, Apollo Hospitals, Christopher A. Viehbacher, Chief Executive Officer, Sanofi, Dr. Prathap Reddy, Chairman – Apollo Hospitals Group and Dr. Deepak Chopra, Renowned Global Spiritual Guru.
Hospitali maarufu za kimataifa za Apollo ambazo zimeazimia kufungua hospitali na kliniki mbali mbali nchini, hivi karibuni zimetangaza uamuazi wake wa kushirikiana na Sanofi katika upanuzi wa Kliniki za Kisukari za...
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Kinachosababisha rangi ya mkojo, kwenda haja ndogo mara kwa mara
10 years ago
Vijimambo27 Mar
JE, ANTIBIOTICS HUSABABISHA KISUKARI
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/03/26/150326132006_antibiotics_512x288_bbc_nocredit.jpg)
Wagonjwa wanaotibiwa na dawa za viuavijasumu ama antibiotics mara kwa mara huenda wakakabiliwa na hatari ya kupatwa na aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari ,watafiti wamegundua.
Utafiti uliochapishwa na Jarida la utafiti wa damu ulifuatilia dawa zinazopewa mamilioni ya wagonjwa nchini Uingereza.Waanzilishi wa utafiti huo wanasema kuwa matokeo ya utafiti huo hayamaanishi kwamba dawa hizo husababisha kisukari ,na badala yake maambukizi huenda ni ishara za mapema kwamba mtu...