Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fahamu kinachosababisha kiharusi (Stroke)

stroke_hem_isoKiharusi kinampata binadamu baada ya eneo la ubongo kukosa damu kwa saa 24 ama zaidi au kunapotokea kizuizi cha damu au mishipa ya damu kushindwa kusafirisha damu au mshipa huo unapopasuka.

Kiharusi kimegawanyika katika aina kuu mbili kulingana na jinsi kinavyotokea, kwanza ni:
1. Kiharusi cha kukosa hewa kwenye ubongo kitaalamu huitwa Ischemic Stroke.
Aina hii ya kiharusi hutokea iwapo usambazaji wa damu katika sehemu ya ubongo hupungua na kusababisha tishu za ubongo za eneo lililoathirika...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

FAHAMU AINA ZA KIHARUSI (STROKE)-2

WIKI iliyopita tulielezea ugonjwa wa kiharusi na aina zake na tukafafanua kwa nini unawapata watu. Endelea kuelimika. Iwapo mgonjwa ataathirika sehemu ya ubongo kwenye shingo kuelekea kwenye uti wa mgongo (brainstem), mgonjwa anaweza kuwa na dalili za kuhisi mabadiliko ya harufu, ladha, kusikia na  kuona, kulegea kwa misuli ya macho (ptosis),  kupungua kwa ufahamu na kulegea kwa misuli ya uso, ulegevu wa ulimi (kushindwa...

 

11 years ago

GPL

FAHAMU AINA ZA KIHARUSI (STROKE)

Kiharusi au kwa Kiingereza Stroke ni kitendo cha baadhi ya viungo vya mwili kuwa na ganzi au kutojiweza kufanya kazi zake za kawaida.Kuna aina mbili za kiharusi, lakini kabla ya kuchambua hayo tuangalie, ni nini kinasababisha mtu kukumbwa na ugonjwa huu? Mtu anaweza kupata dalili za ugonjwa huu wa kiharusi na baada ya dakika chake zikaisha.
Kiharusi kinampata binadamu baada ya eneo la ubongo kukosa damu kwa saa 24 ama zaidi au...

 

11 years ago

GPL

FAHAMU AINA KUU ZA KIHARUSI (STROKE) - 3

Dk. Mandai akimpima mgonjwa.
Na Dk Mandai A. Simu 0717961795, 0754391743
WIKI mbili katika safu hii tumekuwa tukijadili tatizo la kiharusi (stroke) na kufafanua aina za ugonjwa huu. Endelea kuelimika. Iwapo mgonjwa ataathirika sehemu ya ubongo kwenye shingo kuelekea kwenye uti wa mgongo (brain stem), mgonjwa anaweza kuwa na dalili za kuhisi mabadiliko ya harufu, ladha, kusikia na  kuona, kulegea kwa misuli ya macho...

 

11 years ago

GPL

FAHAMU AINA KUU ZA KIHARUSI (STROKE)

KIHARUSI au kwa Kiingereza Stroke ni kitendo cha baadhi ya viungo vya mwili kuwa na ganzi au kutojiweza kufanya kazi zake za kawaida. Kuna aina mbili za kiharusi lakini kabla ya kuchambua hayo tuangalie, ni nini kinasababisha mtu kukumbwa na ugonjwa huo? Mtu anaweza kupata dalili za ugonjwa huu wa kiharusi na baada ya dakika chake zikaisha.
Kiharusi kinampata binadamu baada ya eneo la ubongo kukosa damu kwa saa 24 ama zaidi au...

 

10 years ago

GPL

FAHAMU KINACHOSABABISHA KISUKARI-4

NA DK. A. MANDAI USHAURI SIMU: +255 717 961795                           +255 754 391743 LEO katika makala haya tutaeleza dalili za kisukari na  wiki ijayo tutafafanua madhara yake. Endelea.
Mgonjwa pia anaweza kuona dalili ya kuchoka haraka, kupungua uzito, vipele mwilini ambavyo kitaalamu huitwa diabetic dermadromes. Wagonjwa wa kisukari pia huwa katika hatari ya kupata maambukizi...

 

10 years ago

Mwananchi

Fahamu ugonjwa wa kiharusi

Moja ya changamoto za kiafya zenye matokeo mabaya zaidi tunazoshuhudia kwa sasa hapa Tanzania ni maradhi yatokanayo na changamoto zinazotokea kwenye mfumo wa damu.

 

10 years ago

GPL

FAHAMU KINACHOSABABISHA KUTOSHIKA MIMBA-2

NiLiaNza wiki iliyopita kueleza kinachosababisha kutoshika mimba. Leo naendelea kufafanua. Kuna njia au aina mbili za wanawake kushindwa kushika mimba au kwa maneno rahisi, ugumba kitaalamu Infertility,  ambao unatambuliwa kitabibu. Aina moja huitwa kitaalamu Secondary infertility na aina nyingine huitwa Primary infertility.
Ugumba unaotokea baadaye maishani hujulikana kitaalamu kama Secondary infertility
Ugumba huu...

 

10 years ago

GPL

FAHAMU KINACHOSABABISHA KUTOSHIKA MIMBA

KWANZA kabisa inabidi tujue kinachosababisha mwanamke asipate mimba au watu wengine huita ugumba.
Ugumba ni ile hali ya mwanamke kupoteza uwezo wa kubeba mimba au mwanaume kushindwa kusababisha ujauzito. Na kwa mwanamke hali hii hutokea pale anaposhindwa kubeba ujauzito na hii inaweza kusababishwa na mambo mbalimbali kama kuvurugika kwa homoni, uvimbe katika kizazi, maambukizi ya aina mbalimbali kwenye kizazi cha mwanamke na...

 

9 years ago

Mwananchi

Fahamu kinachosababisha maumivu ya kichwa, harara, kiungulia mara kwa mara

Inaweza kukushangaza kuwa baadhi ya vyakula maarufu na vinavyopendwa, mathalani matunda ya jamii ya machungwa, machenza, malimao, ndimu, na mabalungi, vinaweza kukusababishia hisia za kuumwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani