FAHAMU AINA ZA KIHARUSI (STROKE)-2
![](http://api.ning.com:80/files/p5H7N8Ot6oP2uc7ybGPqinvF-60Aovz6Yp1pjEW5ong3ICF0FEBqlIayD9b41b74vjQ7QDdbtKn55NsOWKEMR0aZt1T*xDlB/heartandbrain.jpg?width=650)
WIKI iliyopita tulielezea ugonjwa wa kiharusi na aina zake na tukafafanua kwa nini unawapata watu. Endelea kuelimika. Iwapo mgonjwa ataathirika sehemu ya ubongo kwenye shingo kuelekea kwenye uti wa mgongo (brainstem), mgonjwa anaweza kuwa na dalili za kuhisi mabadiliko ya harufu, ladha, kusikia na kuona, kulegea kwa misuli ya macho (ptosis), kupungua kwa ufahamu na kulegea kwa misuli ya uso, ulegevu wa ulimi (kushindwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w9JIhnUgjg85KzAVqVeJ1yBPtcOdR5WwTTadHIUXWizBLz467pXnXyLdkVNsct0GfwvMBdTMO80Au6lHolMi0THCLQNJBhly/stroke1.jpg?width=650)
FAHAMU AINA ZA KIHARUSI (STROKE)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aq07GQXjwH2IwsTgWOL3R3rG90IUVf7ukJVOuCfcEa8ggl5K9wi8AjsOYS64MupAhxlDLDXc0W-CAhL7mgrVBkLB9O1Meqb3/STROKE.jpg)
FAHAMU AINA KUU ZA KIHARUSI (STROKE)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0bfNFAOzL1RuS2dxSQg09Qv*xWoMXl9KndZYT-gMHH1DqO380JrQrKzQk6AkYfyieav1U6cdseCcuBZM3qTTKMYqpWlNfurI/DKKAZINI.jpg?width=650)
FAHAMU AINA KUU ZA KIHARUSI (STROKE) - 3
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Fahamu kinachosababisha kiharusi (Stroke)
Kiharusi kinampata binadamu baada ya eneo la ubongo kukosa damu kwa saa 24 ama zaidi au kunapotokea kizuizi cha damu au mishipa ya damu kushindwa kusafirisha damu au mshipa huo unapopasuka.
Kiharusi kimegawanyika katika aina kuu mbili kulingana na jinsi kinavyotokea, kwanza ni:
1. Kiharusi cha kukosa hewa kwenye ubongo kitaalamu huitwa Ischemic Stroke.
Aina hii ya kiharusi hutokea iwapo usambazaji wa damu katika sehemu ya ubongo hupungua na kusababisha tishu za ubongo za eneo lililoathirika...
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Fahamu ugonjwa wa kiharusi
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Fahamu aina za ukatili wa kijinsia
UKATILI wa kijinsia ni jambo kubwa kwenye ajenda za haki za binadamu kimataifa, na unaweza kuwapata wanaume, wanawake na watoo ambao ndio waathirika wakubwa. Hali hii inatokana na mifumo mbalimbali...
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Fahamu aina za upungufu wa damu mwilini-2
Katika makala ya wiki iliyopita tuliangazia tatizo la upungufu wa damu mwilini wengine huita Anaemia ambalo ni jina la jumla linalotumiwa kubainisha aina mbalimbali za upungufu wa damu mwilini.
Tukasema kiwango cha kawaida cha chembe nyekundu za damu (Hb) katika mwili wa binadamu ni kati ya gramu 12 mpaka 14 kwa kila milimita ya damu, zikiwa pungufu ya hapo mtu huyo anakuwa na tatizo la upungufu wa damu.
Tulitaja aina za upungufu wa damu kama vile Pernicious Anaemia na Aplastica Anaemia....
5 years ago
BBCSwahili12 May
Virusi vya corona: Fahamu aina za barakoa zinazotoa ulinzi madhubuti dhidi ya maambukizi
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
Wanaolala sana kushikwa na kiharusi