FAHAMU AINA KUU ZA KIHARUSI (STROKE)
![](http://api.ning.com:80/files/aq07GQXjwH2IwsTgWOL3R3rG90IUVf7ukJVOuCfcEa8ggl5K9wi8AjsOYS64MupAhxlDLDXc0W-CAhL7mgrVBkLB9O1Meqb3/STROKE.jpg)
KIHARUSI au kwa Kiingereza Stroke ni kitendo cha baadhi ya viungo vya mwili kuwa na ganzi au kutojiweza kufanya kazi zake za kawaida. Kuna aina mbili za kiharusi lakini kabla ya kuchambua hayo tuangalie, ni nini kinasababisha mtu kukumbwa na ugonjwa huo? Mtu anaweza kupata dalili za ugonjwa huu wa kiharusi na baada ya dakika chake zikaisha. Kiharusi kinampata binadamu baada ya eneo la ubongo kukosa damu kwa saa 24 ama zaidi au...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0bfNFAOzL1RuS2dxSQg09Qv*xWoMXl9KndZYT-gMHH1DqO380JrQrKzQk6AkYfyieav1U6cdseCcuBZM3qTTKMYqpWlNfurI/DKKAZINI.jpg?width=650)
FAHAMU AINA KUU ZA KIHARUSI (STROKE) - 3
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p5H7N8Ot6oP2uc7ybGPqinvF-60Aovz6Yp1pjEW5ong3ICF0FEBqlIayD9b41b74vjQ7QDdbtKn55NsOWKEMR0aZt1T*xDlB/heartandbrain.jpg?width=650)
FAHAMU AINA ZA KIHARUSI (STROKE)-2
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w9JIhnUgjg85KzAVqVeJ1yBPtcOdR5WwTTadHIUXWizBLz467pXnXyLdkVNsct0GfwvMBdTMO80Au6lHolMi0THCLQNJBhly/stroke1.jpg?width=650)
FAHAMU AINA ZA KIHARUSI (STROKE)
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Fahamu kinachosababisha kiharusi (Stroke)
Kiharusi kinampata binadamu baada ya eneo la ubongo kukosa damu kwa saa 24 ama zaidi au kunapotokea kizuizi cha damu au mishipa ya damu kushindwa kusafirisha damu au mshipa huo unapopasuka.
Kiharusi kimegawanyika katika aina kuu mbili kulingana na jinsi kinavyotokea, kwanza ni:
1. Kiharusi cha kukosa hewa kwenye ubongo kitaalamu huitwa Ischemic Stroke.
Aina hii ya kiharusi hutokea iwapo usambazaji wa damu katika sehemu ya ubongo hupungua na kusababisha tishu za ubongo za eneo lililoathirika...
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Fahamu ugonjwa wa kiharusi
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Fahamu aina za ukatili wa kijinsia
UKATILI wa kijinsia ni jambo kubwa kwenye ajenda za haki za binadamu kimataifa, na unaweza kuwapata wanaume, wanawake na watoo ambao ndio waathirika wakubwa. Hali hii inatokana na mifumo mbalimbali...
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Fahamu aina za upungufu wa damu mwilini-2
Katika makala ya wiki iliyopita tuliangazia tatizo la upungufu wa damu mwilini wengine huita Anaemia ambalo ni jina la jumla linalotumiwa kubainisha aina mbalimbali za upungufu wa damu mwilini.
Tukasema kiwango cha kawaida cha chembe nyekundu za damu (Hb) katika mwili wa binadamu ni kati ya gramu 12 mpaka 14 kwa kila milimita ya damu, zikiwa pungufu ya hapo mtu huyo anakuwa na tatizo la upungufu wa damu.
Tulitaja aina za upungufu wa damu kama vile Pernicious Anaemia na Aplastica Anaemia....
5 years ago
BBCSwahili12 May
Virusi vya corona: Fahamu aina za barakoa zinazotoa ulinzi madhubuti dhidi ya maambukizi
10 years ago
Michuzi18 Mar
WAFUNGWA GEREZA KUU UKONGA, DAR ES SALAAM MAHIRI KWA USHONAJI WA NGUO ZA AINA MBALIMBALI MAGEREZANI
Wafungwa wa Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam wakikata vitambaa vya nguo kabla ya kuanza kushona nguo za Wafungwa Magerezani. Wafungwa hao hujifunza Stadi mbalimbali za ujuzi ambazo huwasaidia kujipatia kipato mara tu wanapomaliza kifungo chao.
Wafungwa wa Gereza Kuu Ukonga, Jijini Dar es Salaam wakiendelea na ushonaji wa nguo za aina mbalimbali kama wanavyoonekana katika picha. Jeshi la Magereza nchini linatekeleza ipasavyo jukumu lake la Urekebishaji kwa kuwapatia ujuzi wa fani...