Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fahamu aina za upungufu wa damu mwilini-2

TEST-ANEMIA-1024x576Katika makala ya wiki iliyopita tuliangazia tatizo la upungufu wa damu mwilini wengine huita Anaemia ambalo ni jina la jumla linalotumiwa kubainisha aina mbalimbali za upungufu wa damu mwilini.

Tukasema kiwango cha kawaida cha chembe nyekundu za damu (Hb) katika mwili wa binadamu ni kati ya gramu 12 mpaka 14 kwa kila milimita ya damu, zikiwa pungufu ya hapo mtu huyo anakuwa na tatizo la upungufu wa damu.

Tulitaja aina za upungufu wa damu kama vile Pernicious Anaemia na Aplastica Anaemia....

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UPUNGUFU WA POTASSIUM MWILINI, WAWEZA KUWA TISHIO KWA USALAMA WA MOYO .

NDIZI HUSIFIKA KWA UTAJIRI WAKE WA MADINI YA POTASSIUMPotassium ni moja  kati  ya madini muhimu ya chumvi chumvi mwilini.Ikisaidiana na chumvu chumvi nyingine kama Calcium, Magnesium, Sodium, Potassium ni muhimu sana kwenye usimamiaji wa kiwango sahihi cha maji mwilini, utendaji wa cell na zaidi uanzishaji wa mwendo ( conduction of  electricity) katika  misuli ya mwili yenye mwendo hiari na mwendo usio wa hiari. Hivyo,Pottasium hupelekea mwamko katika mishipa ya moyo inayohusika na...

 

10 years ago

GPL

FAHAMU HATUA SITA ZA HIV MWILINI-2

TUNAENDELEA kuchambua hatua sita za tatizo la Ukimwi (HIV) kwenye mwili wa binadamu, endelea.
Ndani kabisa ya kiini au capsid kuna aina tatu tofauti za vimeng’enyo au enzymes ambavyo ni muhimu mno kwa ajili ya uzalianaji wa HIV. Vimeng’enyo hivyo hujulikana kama reverse transcriptase, integrase na protease. Pamoja na vimeng’enyo hivyo, capsid pia ina nyuzi mbili za vinasaba vya RNA ambavyo husaidia...

 

9 years ago

GPL

FAHAMU CD4 ZINAVYOFANYA KAZI MWILINI

Wiki iliyopita nilieza kuhusu hatua za mtu kuwa na Ukimwi na kutaja CD4, wengi wamenipigia simu kutaka nifafanue hicho ni nini kitaalam.CD ni kifupi cha maneno ya kitaalam, yaani Cluster of Differentiation. Hii ni aina mojawapo ya kiasili kilichoundwa kwa protini na mafuta (yaani glycoprotein) ambacho kinapatikana juu ya uso wa seli nyeupe za damu zijulikanazo kama Thelper Cells, Regulatory T-Cells, Monocytes, Macrophages na...

 

11 years ago

GPL

FAHAMU HATUA TANO ZA HIV MWILINI

Leo tutachambua jinsi Virusi vya Ukimwi (VVU) ambavyo pia hujulikana kama HIV  vinavyoingia mwilini na kujiimarisha. Ni somo gumu lakini tutajitahidi kuelezea ili kila mmoja aelewe. Kuna hatua tano ambazo hufanya Virusi vya Ukimwi kuweza kuingia ndani ya seli za binadamu na kuzaliana. Virusi hao ambao pia kama nilivyosema hapo juu hujulikana kama HIV hutumia kiasili cha CD4 na wana kama njia ya kupita kwani baada ya mtu kupata...

 

11 years ago

Mwananchi

Maajabu ya damu mwilini (5)

Baada ya kuona jinsi ugonjwa wa selimundu unavyotokea na namna unavyoweza kurithiwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine, katika sehemu hii ya tano utafahamu dalili, namna inavyochunguzwa na suala la matibabu.

 

11 years ago

Mwananchi

Maajabu ya damu mwilini (4)

Kama vilivyo viungo vingine vya mwili, damu nayo ina changamoto ya kukumbana na maradhi mbalimbali. Magonjwa yanayoathiri utendaji wa damu yanaweza kugawanywa katika makundi kama vile ya kurithi, kuambukiza, mabadiliko ya kimwili na saratani.

 

11 years ago

Mwananchi

Maajabu ya damu mwilini

Mwili wa binadamu umesheheni vitu vingi sana, lakini moja ya vitu vinavyoshangaza ni damu. Kiungo hiki ni moja ya ogani ya mwili ya kipekee ambayo ipo katika maumbile ya kimiminika

 

11 years ago

Mwananchi

Lozi: aina ya njugu yenye manufaa mengi mwilini

>Wengi tumekuwana tukizifahamu aina mbalimbali za njugu kama vile karanga,korosho na nazi.

 

11 years ago

GPL

UPUNGUFU WA DAMU KWA MJAMZITO -2

BAADA ya kueleza madhara ya upungufu wa damu kwa wajawazito kwa kina wiki iliyopita, leo tuangalie madhara kwa mimba na mtoto atakayezaliwa. Madhara ni pamoja na mtoto kuzaliwa njiti, mtoto kuzaliwa na uzito mdogo, mtoto kuwa na score ndogo kitaalamu huitwa poor Apgar score, mtoto kuzaliwa akiwa amechoka yaani fetal distress na hutokea upungufu wa damu kwa mtoto. Watoto wanaozaliwa wakiwa na upungufu wa damu hukua kwa tabu, huwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani