Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAHAMU HATUA TANO ZA HIV MWILINI

Leo tutachambua jinsi Virusi vya Ukimwi (VVU) ambavyo pia hujulikana kama HIV  vinavyoingia mwilini na kujiimarisha. Ni somo gumu lakini tutajitahidi kuelezea ili kila mmoja aelewe. Kuna hatua tano ambazo hufanya Virusi vya Ukimwi kuweza kuingia ndani ya seli za binadamu na kuzaliana. Virusi hao ambao pia kama nilivyosema hapo juu hujulikana kama HIV hutumia kiasili cha CD4 na wana kama njia ya kupita kwani baada ya mtu kupata...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FAHAMU HATUA SITA ZA HIV MWILINI-2

TUNAENDELEA kuchambua hatua sita za tatizo la Ukimwi (HIV) kwenye mwili wa binadamu, endelea.
Ndani kabisa ya kiini au capsid kuna aina tatu tofauti za vimeng’enyo au enzymes ambavyo ni muhimu mno kwa ajili ya uzalianaji wa HIV. Vimeng’enyo hivyo hujulikana kama reverse transcriptase, integrase na protease. Pamoja na vimeng’enyo hivyo, capsid pia ina nyuzi mbili za vinasaba vya RNA ambavyo husaidia...

 

9 years ago

Global Publishers

Fahamu aina za upungufu wa damu mwilini-2

TEST-ANEMIA-1024x576Katika makala ya wiki iliyopita tuliangazia tatizo la upungufu wa damu mwilini wengine huita Anaemia ambalo ni jina la jumla linalotumiwa kubainisha aina mbalimbali za upungufu wa damu mwilini.

Tukasema kiwango cha kawaida cha chembe nyekundu za damu (Hb) katika mwili wa binadamu ni kati ya gramu 12 mpaka 14 kwa kila milimita ya damu, zikiwa pungufu ya hapo mtu huyo anakuwa na tatizo la upungufu wa damu.

Tulitaja aina za upungufu wa damu kama vile Pernicious Anaemia na Aplastica Anaemia....

 

9 years ago

GPL

FAHAMU CD4 ZINAVYOFANYA KAZI MWILINI

Wiki iliyopita nilieza kuhusu hatua za mtu kuwa na Ukimwi na kutaja CD4, wengi wamenipigia simu kutaka nifafanue hicho ni nini kitaalam.CD ni kifupi cha maneno ya kitaalam, yaani Cluster of Differentiation. Hii ni aina mojawapo ya kiasili kilichoundwa kwa protini na mafuta (yaani glycoprotein) ambacho kinapatikana juu ya uso wa seli nyeupe za damu zijulikanazo kama Thelper Cells, Regulatory T-Cells, Monocytes, Macrophages na...

 

11 years ago

GPL

FAHAMU HATUA NNE ZA VIDONDA VYA TUMBO - 2

Dk A. Mandai. Na Dk Mandai A. Simu: 0717961795, 0754391743 WIKI iliyopita tulieleza kwa urefu kuhusu ugonjwa wa vidonda vya tumbo, tukaeleza hatua ya kwanza ambayo haikwisha sasa, endelea. Mgonjwa asipopata tiba, tindikali nyingi iliyozalishwa hushuka na kuingia kwenye utumbo mdogo na kuharibu mfumo wa mmeng’enyo au usagaji wa chakula kwa kuwa vimengíenyo vya utumbo mdogo hushindwa kufanya kazi kwenye mazingira ya...

 

11 years ago

GPL

FAHAMU HATUA NNE ZA VIDONDA VYA TUMBO

Dk A. Mandai. Na Dk Mandai A. Simu: 0717961795, 0754391743
VIDONDA vya tumbo ni ugonjwa ambao umekuwa ukiwasumbua watu kadhaa na hata kusababisha vifo. Kuna madhara mengi kwa watu wanaougua vidonda vya tumbo kama vile  utumbo kuharibika, kupoteza damu nyingi na kupatwa na saratani ya tumbo. Ugonjwa huu ni kati ya magonjwa hatari sana ambayo yasipotibiwa mapema yanaweza kuleta madhara makubwa katika jamii na hata...

 

10 years ago

Mwananchi

Hatua tano za muhimu kuelekea mafanikio

Mara nyingi katika maisha yetu ya kila siku tumesikia maneno kama “nipe tano” “chukua tano” maneno haya yamekuwa maarufu katika mazingira tofauti maneno yakiashiria ushindi, au hali ya mafanikio au furaha baada ya hali fulani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Timu tano zasonga hatua ya makundi

Timu za Uganda ,Congo Dr,Morocco,Guinea na Gabon zimesonga mbele katika hatua ya makundi ya kusaka tiketi ya kombe la dunia

 

9 years ago

Michuzi

Tanzania yatangaza hatua tano za kuendeleza haki za wanawake na usawa wa kijinsia


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telephone: 255-22-2114512, 2116898

E-mail: ikulucommpress@googlemail.com

Website : www.ikulu.go.tz              

Fax: 255-22-2113425



PRESIDENT’S OFFICE,

      STATE HOUSE,

              1 BARACK OBAMA ROAD,  

11400 DAR ES SALAAM.

Tanzania.

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tanzania yatangaza hatua tano za kuendeleza haki za wanawake na usawa wa kijinsia

·        Yaahidi kufanya mabadiliko makubwa ya kisera na...

 

5 years ago

Hiptoro

Cure for HIV/AIDS: Monthly Antiretrovirals Injection can now Treat HIV...

Cure for HIV/AIDS: Monthly Antiretrovirals Injection can now Treat HIV...  Hiptoro

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani