FAHAMU HATUA SITA ZA HIV MWILINI-2
![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsum49sUPaS*egYLGDEI-Mrj7TOJt-6I42LTliNHsZdJZHVMo5*XYOgHvGhPp2J-*43Q7dyFwuHd4v6IvB9Quo*Uh/M_Id_419107_AIDS.jpg?width=650)
TUNAENDELEA kuchambua hatua sita za tatizo la Ukimwi (HIV) kwenye mwili wa binadamu, endelea. Ndani kabisa ya kiini au capsid kuna aina tatu tofauti za vimeng’enyo au enzymes ambavyo ni muhimu mno kwa ajili ya uzalianaji wa HIV. Vimeng’enyo hivyo hujulikana kama reverse transcriptase, integrase na protease. Pamoja na vimeng’enyo hivyo, capsid pia ina nyuzi mbili za vinasaba vya RNA ambavyo husaidia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJOgz3CpOAdOil6QDzErHC0li4kxB9Nu5jiMN190YvDzV8cPDeytz-pEyY0Ae4Gpg0aS-9ngOURGHXP6hhtRAP3K/hiv.jpg?width=650)
FAHAMU HATUA TANO ZA HIV MWILINI
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Fahamu aina za upungufu wa damu mwilini-2
Katika makala ya wiki iliyopita tuliangazia tatizo la upungufu wa damu mwilini wengine huita Anaemia ambalo ni jina la jumla linalotumiwa kubainisha aina mbalimbali za upungufu wa damu mwilini.
Tukasema kiwango cha kawaida cha chembe nyekundu za damu (Hb) katika mwili wa binadamu ni kati ya gramu 12 mpaka 14 kwa kila milimita ya damu, zikiwa pungufu ya hapo mtu huyo anakuwa na tatizo la upungufu wa damu.
Tulitaja aina za upungufu wa damu kama vile Pernicious Anaemia na Aplastica Anaemia....
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MMaj31ebAY84lNABC4xzvPERqzE3WhUMhhxIy2HdCTkXPzh6PB3-qrML-4CZwuPlxxsaJQvEhQingoRrtgup2bY-bNz27w7D/nri952f1.gif?width=650)
FAHAMU CD4 ZINAVYOFANYA KAZI MWILINI
11 years ago
GPLFAHAMU HATUA NNE ZA VIDONDA VYA TUMBO
11 years ago
GPLFAHAMU HATUA NNE ZA VIDONDA VYA TUMBO - 2
5 years ago
Hiptoro09 Mar
Cure for HIV/AIDS: Monthly Antiretrovirals Injection can now Treat HIV...
5 years ago
BBCSwahili12 Mar
Hatua za Italia za kudhibiti coronavirus: Taifa zima kuchukua hatua ya kujitenga.
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
Hatua ya Makundi UEFA yakamilika, hii ndiyo listi ya timu zilizofuzu hatua ya 16 bora
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA imekamilika usiku wa jumatano kwa kupatikana timu nyingine 8 ambazo zitaungana na timu 8 zilizofuzu jumanne kuingia katika hatua ya 16 bora.
Timu ambazo zimefuzu kuingia hatua ya 16 bora ni;
GROUP A;
Real Madrid
Paris Saint-German
GROUP B;
Wolfsburg
PSV Eindhoven
GROUP C;
Atletico Madrid
Benfica
GROUP D;
Manchester City
Juventus
GROUP E;
Barcelona
Roma
GROUP F;
Bayern Munich
Arsenal
GROUP G;
Chelsea
Dynamo Kyiv
GROUP H;
10 years ago
Michuzi06 Feb
DRFA yataja makundi ya timu zitakazoshiriki kucheza hatua ya 18 bora (hatua ya pili) ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam
Ligi hiyo ya mkoa...