Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wanawake teteeni ajenda zenu kwenye Katiba’

WANAWAKE nchini wametakiwa kufunguka na kujua ajenda zao zilizomo katika Katiba pendekezwa na kuhakikisha wanazitetea, ikiwemo ya usawa kati ya wanaume na wanawake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wabunge wanawake wasisitiza ajenda ya hamsini kwa hamsini kutokakwepeka katika Katiba Mpya ijayo

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Margareth Sitta akifungua semina ya Wanawake iliyohusu kuwawezesha wanawake katika masuala ya uongozi, utatuzi wa migogoro pamoja na harakati za uchaguzi iliyofanyika leo 13 Septemba, 2014 mjini Dodoma. Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Pindi Chana akiwahutubia baadhi ya wanawake na wanaume waliohudhuria semina maalum iliyohusu kuwawezesha wanawake katika masuala ya uongozi, utatuzi wa migogoro pamoja na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wanawake, watoto tambueni haki zenu’

WANAWAKE na watoto wametakiwa kuzitambua haki zao za kimsingi katika jamii ili kuepukana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia vinavyokithiri wilayani Karagwe. Mkurugenzi Mtendaji wa asasi isiyo ya kiserikali ya...

 

9 years ago

Michuzi

WANAWAKE LINDENI KURA ZENU:BAWACHA

Mke wa Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa, Regina Lowassa akiwa katika mkutano wa hadharaMke wa Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa, Regina Lowassa akiwa katika mkutano wa hadhara.
BARAZA la Wanawake la Chama Cha Demokrasia (Chadema) Taifa, Bawacha, limewataka wanawake nchi nzima kupiga kura na kukaa mita 200 ili kulinda kura zao kwani ni haki yao kisheria.Kauli hiyo imetolewa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Bawacha Kunti Yusuph wakati wa mkutano na wanawake, uliofanyika katika ofisi za Chadema kanda ya ziwa Victoria jijini hapa.
Kunti ambaye ni mratibu wa mikutano ya kukutana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UWK: Wanawake pazeni sauti zenu

UMOJA wa Wanawake Wajane (UWK) Wilayani Karagwe umesema unyanyasaji wa kijinsia katika jamii unaweza kutokomezwa iwapo wanawake watavunja ukimya na kupaza sauti zao. Akizungumza na waandishi wa habari jana mwenyekiti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sauti za wanawake zisikike kwenye katiba

DHANA ya kwamba wanawake hawawezi kushiriki katika vyombo vya uamuzi na hivyo kuamuliwa kila kitu na wanaume imepitwa na wakati. Lazima wanaume na baadhi ya wanawake wenyewe waliokuwa na fikra...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajadili masuala ya wanawake kwenye katiba mpya

WAWAKILISHI wa mtandao wa wanawake na katiba wamekutana na wahariri wa vyombo vya habari nchini na kujadili masuala muhimu ya wanawake katika rasimu ya pili ya katiba mpya. Kwa mujibu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Katiba iwe ajenda kwa wagombea CHADEMA

KATIKA hekaheka za uchaguzi zinazoendelea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA), wanachama wengi wamejitokeza kugombea nafasi mbalimbali. Jicho langu kwa leo limeangazia katika uchaguzi wa wagombea wa nafasi ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Elekezeni nguvu zenu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa- Tindu Lissu

Lissu pics

Mbunge Tundu Lissu, Singida Mashariki

Na Nathaniel Limu, Ikungi

MBUNGE wa Jimbo la Singida mashariki kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amewataka wananchama wa chama hicho kata ya Iseke tarafa ya Ihanja wasibweteke na ushindi wa udiwani walioupata katikati ya mwaka jana, na badala yake waelekeze nguvu zao zote kwenye uchanguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika oktoba mwaka huu.

Amesema ushindi huo utakuwa na maana zaidi endapo CHADEMA itazoa nafasi zote za uenyeviti wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

BUNGE MAALUMU LA KATIBA: CCM ina ajenda ya siri

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kama chama tawala kwa muda mrefu Tanzania, kimejizatiti kimkakati kudhibiti mchakato wa uandikaji wa Katiba mpya! Dhamira ya CCM juu ya uandikaji wa Katiba mpya umejikita...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani