Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samia: Msiuze kura zenu kwa bei ya chumvi

Pg 2 sept 10NA SARAH MOSSI, RUVUMA

MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuthamini kura zao na kutokubali kuziuza kwa bei rahisi inayofanana na chumvi.

Samia, aliyasema hayo jana katika Kijiji cha Kingerikiti katika moja ya mikutano yake ya kampeni kwenye Jimbo la Nyasa mkoani Ruvuma.

Akihutubia wananchi wa jimbo hilo, Samia alisema wapo watu wanaopita kuwahadaa kwa kutumia fedha ili wawapigie kura katika uchaguzi mkuu ujao, huku wakiahidi ahadi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WANAWAKE LINDENI KURA ZENU:BAWACHA

Mke wa Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa, Regina Lowassa akiwa katika mkutano wa hadharaMke wa Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa, Regina Lowassa akiwa katika mkutano wa hadhara.
BARAZA la Wanawake la Chama Cha Demokrasia (Chadema) Taifa, Bawacha, limewataka wanawake nchi nzima kupiga kura na kukaa mita 200 ili kulinda kura zao kwani ni haki yao kisheria.Kauli hiyo imetolewa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Bawacha Kunti Yusuph wakati wa mkutano na wanawake, uliofanyika katika ofisi za Chadema kanda ya ziwa Victoria jijini hapa.
Kunti ambaye ni mratibu wa mikutano ya kukutana...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa: Tumieni kura zenu vizuri

3(4)>> Aonya polisi, asema atawapeleka ICC

>> Ashangaa fedha kupelekwa bandari ya Bagamoyo

 

NA FREDY AZZAH, TANGA

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amewataka Watanzania kutumia vizuri kadi zao za kupigia kura kwa kumchagua yeye kwani watakuwa wamefanya uamuzi wa busara ambao hawataujutia.

Lowassa aliyasema hayo jana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Indian Ocean, eneo la Donge jijini Tanga, huku akisema fedha zilizopelekwa...

 

9 years ago

Michuzi

BI. SAMIA SULUHU AHAIDI NEEMA KWA WAPIGA KURA MAJIMBO YA LIWALE NA NACHINGWEA

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Sabasaba Mjini Nachingwea kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu. Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Sabasaba Mjini Nachingwea kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu.Sehemu ya wanaCCM na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu kwenye Uwanja wa Nangwanda Jimbo la Liwale.AKIZUNGUMZA na wananchi katika mikutano hiyo mgombea mwenza Bi. Samia Suluhu alisema licha ya ilaya ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mtanzania MUIGIZAJI anaeishi San Francisco Ernest Napoleon, anaomba Kura zenu

Ernest Napoleon ni Mtanzania MUIGIZAJI anaeishi San Francisco, amefanya movie inayoitwa Going Bongo bit.ly/goingbongoitunes.Hivi sasa yupo kwenye mchakacho wa kushirikishwa katika filamu ya kampuni ya Forest Whitaker inayoitwa “The Driver”. Ernest Napoleon akiwa na  Forest Steven Whitaker actor, producer, na directorwa filamu za kiMarekaniIli kufanikiwa kwenye filamu hiyo, alikuwa anahitaji kura za waTanzania na waKenya kwa ujumla ili kumfikisha Shindano hilo.Tunaomba msaada wenu wa ku...

 

9 years ago

Michuzi

ZITUNZENI KADI ZENU ZA KUPIGIA KURA MSIKUBALI KUZIBADILISHA NA KITU CHOCHOTE - MAMA SALMA KIKWETE

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi WAKAZI wa mkoa wa Lindi wametakiwa kuzitunza shahada zao za kupigia kura na kukataa  kurubuniwa ili waziuze kwani kadi hizo ndizo zitazowawezesha kupiga kura na kuwachagua viongozi wanaowataka.
Mwito huo umetolewa  hivi karibuni na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na wananchi wa  vijiji vya Nyengedi na Mandawa vilivyopo   katika majimbo ya Mtama  na Ruangwa waliohudhuria mkutano wa kampeni ya kuwanadi wagombea wa nafasi za...

 

11 years ago

Michuzi

TEAM IDDI "TEAM TANZANIA" INAOMBA KURA ZENU

Mr. Iddi Sandaly,
Bachelors in Accounting, MBA, CPA, CGMA
Controller at
Property Management Company
KUSHIRIKIANA NA KINA MAMA NA WATANZANIA WOTE HAPA DMV
Kwa miaka mitatu mfululizo nimekuwa nikishiriki na kushirikiana na kikundi cha kina mama kwenye matembezi hiari ya Kansa. Kikundi cha kina mama wa DMV ndani yake kukiwa na watanzania wenzetu walio pitia janga la Kansa wamekuwa mbele kuwaomba na kuwataka watanzania wachangie kwenye utafiti wa Kansa na pia kuwaomba watanzania wote wafanyiwe...

 

11 years ago

Michuzi

TEAM IDDI "TEAM TANZANIA" INAOMBA KURA ZENU: KUWAKUTANISHA WATANZANIA KAMA WANA DMV BILA KUJALI MENGINEYO

MHE IDDY SANDALY
Katika Historia ya DMV kwa Miaka miwili mfululizo ya Uongozi wangu  tumeweza kuwajumuisha watanzania kwenye mambo mbali mbali. Tumeweza kufanya SUMMER PICNIC kwa watanzania wote wa DMV . Tuliweza kujipanga na Kuhakikisha watoto, vijana na Wazee wanajumuishwa pamoja na kufurahia, Watanzania bila Kujali Vyama na mengineyo tuliweza kujumuika kwa pamoja na kufurahi.  Lengo DMV MOJA.
Kwa Kuendeleza kuonyesha ni jinsi Gani umoja Ndio Lengo la Jumuiya na Sio Kupata Mamilioni ya Fedha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mnabinafsisha idara kwa familia zenu?

EBO! Kwa mtaji huu nadhani sasa tubinafsishe idara zote za sirikali tuwaachie familia za wateule walioteuliwa  wazichukue. Kama watatulipa mrabaha au kodi hilo litaamuliwa mbele ya safari. Huko simo ila...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA AHAKIKI TAARIFA ZAKE ZA MPIGA KURA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihakiki taarifa zake za mpiga kura kwenye Daftari la Wapiga kura katika Kituo cha Shule ya Sekondari  SOS Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo Febuari 27,2020. katikati ni Mkurugenzi wa tume ya Uchaguzi Zanzibar  ZEC Thabit Idarous Faina. Afisa wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Jamii Zanzibar Khatib Said Bakari akimkabidhi Kitambulisho cha Mzanzibari Mkazi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani