Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMU WA RAIS SAMIA AHAKIKI TAARIFA ZAKE ZA MPIGA KURA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihakiki taarifa zake za mpiga kura kwenye Daftari la Wapiga kura katika Kituo cha Shule ya Sekondari  SOS Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo Febuari 27,2020. katikati ni Mkurugenzi wa tume ya Uchaguzi Zanzibar  ZEC Thabit Idarous Faina. Afisa wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Jamii Zanzibar Khatib Said Bakari akimkabidhi Kitambulisho cha Mzanzibari Mkazi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS DK.SHEIN AHAKIKI TAARIFA ZAKE KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA ZANZIBAR


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika foleni akisubiri zamu yake katika zoezi la Uhakiki taarifa zake katika Daftari la Kudumu la WApiga Kura Zanzibar , katika Kituo cha Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jaji.Hamid Mahmoud,(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihakiki Taarifa...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA MWENZA, SAMIA SULUHU, WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO) AWAAGA NA KUWASHUKURU WAFANYAKAZI WENZAKE OFISI YA MAKAMU WA RAIS

 Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza na Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati  wa mkutano maalum wa kuwaaga na kuwashukuru  wafanyakazi wenzake.  uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa mukutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, jijini Dar es Salaam.
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akisoma...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE KUAPISHWA RAIS MPYA WA BURUNDI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bujumbura Nchini Burundi kwa ajili ya kumuwaklilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye shughuli ya kuapishwa Rais Mpya wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye  leo Juni 18,2020. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Burundi Mhe. Gasten Sindimwa.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu ashiriki msiba wa mjukuu Rais Dk. Magufuli!

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mjukuu wa Mhe. Rais Dkt. John Magufuli, Maryfaustna Mlyambina, aliyefariki Nov 11, 2015. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu zilifanyika leo Nov 13, 2015 Kimara jijini Dar es Salaam, na baadaye msiba huo kusafirishwa kuelekea Mkoani Mwanza kwa maziko. Picha na OMR.

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa heshima za...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU ASHIRIKI MSIBA WA MJUKUU WA RAIS MAGUFULI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mjukuu wa Mhe. Rais Dkt. John Magufuli, Maryfaustna Mlyambina, aliyefariki Nov 11, 2015. Shughuli za kuagwa mwili wa marehemu zilifanyika leo Nov 13, 2015 Kimara jijini Dar es Salaam, na baadaye msiba huo kusafirishwa kuelekea Mkoani Mwanza kwa maziko.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA NA RAIS MSTAAFU AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE WAIFARIJI FAMILIA YA NKURUNZIZA BURUNDI



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakimjulia hali na kumfariji Mjane wa marehemu Rais  Pierre Nkurunziza wa Burundi Bibi Rev Denise Nkurunziza wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza  Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU NA RAIS MSTAAFU AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE WAIFARIJI FAMILIA YA NKURUNZIZA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakimjulia hali na kumfariji Mjane wa marehemu Rais  Pierre Nkurunziza wa Burundi Bibi Rev Denise Nkurunziza wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza  Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu Nkurunziza.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani