Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS DK.SHEIN AHAKIKI TAARIFA ZAKE KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA ZANZIBAR


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika foleni akisubiri zamu yake katika zoezi la Uhakiki taarifa zake katika Daftari la Kudumu la WApiga Kura Zanzibar , katika Kituo cha Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jaji.Hamid Mahmoud,(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihakiki Taarifa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SHILATU AHUISHA TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu ametumia haki yake kikatiba ya kujiandikisha kwa kuhuisha taarifa zake kwenye daftari la Kudumu la Mpiga Kura itakayompa fursa ya kidemokrasia ya kuchagua viongozi anaowataka kwenye uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani.

Afisa Tarafa Mihambwe, Emmanuel Shilatu akipigwa picha wakati wa kuhuisha taarifa zake kwenye daftari la Kudumu la Mpiga Kura Jana Mei 04, 2020.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: KUHAKIKI TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Tunawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kujitokeza katika vituo walipojiandikisha ili wahakiki taarifa zao. Ambako daftari la mpiga kura limebandikwa. (Display)  NA.MIKOATAREHE YA KUANZATAREHE YA KUMALIZA1Njombe, Iringa,  Mtwara, Lindi, Ruvuma, Katavi, Rukwa, Mbeya, Dodoma, Singida, Tabora, Kigoma, Kagera, Simiyu, Shinyanga, Geita, Mwanza, Mara, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Morogoro.
07/08/201511/08/20152Pwani na...

 

10 years ago

GPL

UHAKIKI WA TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kujitokeza katika vituo walipojiandikisha ili wahakiki taarifa zao. Kwa mikoa…

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA AHAKIKI TAARIFA ZAKE ZA MPIGA KURA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihakiki taarifa zake za mpiga kura kwenye Daftari la Wapiga kura katika Kituo cha Shule ya Sekondari  SOS Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo Febuari 27,2020. katikati ni Mkurugenzi wa tume ya Uchaguzi Zanzibar  ZEC Thabit Idarous Faina. Afisa wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Jamii Zanzibar Khatib Said Bakari akimkabidhi Kitambulisho cha Mzanzibari Mkazi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI


Kama inavyofahamika, chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997 na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 ya mwaka 2010, jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani kwa Tanzania Bara. Aidha, Sheria ya Kura ya Maoni imezipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar jukumu la kuendesha Kura ya Maoni kwa ajili ya kuhalalisha Katiba Inayopendekezwa. Kwa mujibu wa Katiba...

 

11 years ago

Michuzi

TAaRIFA ZA KUANZA KWA ZAOEZI LA Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura zasisimua wengi

Wananchi wengi wamesisimkwa na kufurahishwa na taarifa kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarijia kuanza zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mapema mwezi Septemba 2014
Wameseme maandalizi hayo ambayo ni ya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na upigaji wa Kura za Maoni kwa ajili ya mchakato wa Katiba Mpya Hayo yamekuja wakati muafaka.
 Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa Damian Lubuva alibainisha mbele ya wahariri wa vyombo vya habari...

 

5 years ago

CHADEMA Blog

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA (DKWK)

Baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pia kwa kushirikiana na vyama vingine washirika, kuibana mara kadhaa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kupitia njia mbalimbali kuitaka isiendelee kukiuka Katiba ya Nchi na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi inayoweka utaratibu wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura (DKWK), hatimae tume hiyo imetoa ratiba ya zoezi la uboreshaji wa daftari

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani