Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KWA UMMA: KUHAKIKI TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Tunawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kujitokeza katika vituo walipojiandikisha ili wahakiki taarifa zao. Ambako daftari la mpiga kura limebandikwa. (Display)  NA.MIKOATAREHE YA KUANZATAREHE YA KUMALIZA1Njombe, Iringa,  Mtwara, Lindi, Ruvuma, Katavi, Rukwa, Mbeya, Dodoma, Singida, Tabora, Kigoma, Kagera, Simiyu, Shinyanga, Geita, Mwanza, Mara, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Morogoro.
07/08/201511/08/20152Pwani na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI


Kama inavyofahamika, chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997 na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 ya mwaka 2010, jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani kwa Tanzania Bara. Aidha, Sheria ya Kura ya Maoni imezipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar jukumu la kuendesha Kura ya Maoni kwa ajili ya kuhalalisha Katiba Inayopendekezwa. Kwa mujibu wa Katiba...

 

5 years ago

CHADEMA Blog

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA (DKWK)

Baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pia kwa kushirikiana na vyama vingine washirika, kuibana mara kadhaa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kupitia njia mbalimbali kuitaka isiendelee kukiuka Katiba ya Nchi na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi inayoweka utaratibu wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura (DKWK), hatimae tume hiyo imetoa ratiba ya zoezi la uboreshaji wa daftari

 

10 years ago

GPL

UHAKIKI WA TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kujitokeza katika vituo walipojiandikisha ili wahakiki taarifa zao. Kwa mikoa…

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: UWEKAJI WAZI WA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA KATIKA MIKOA YOTE YA UNGUJA NA PEMBA

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuweka Wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura katika Mikoa yote ya Unguja na Pemba kuanzia tarehe 03/09/2015 hadi tarehe 07/09/2015 ili Umma uweze kupata nafasi ya kulikagua Daftari la Awali na kutoa taarifa za kufanyiwa marekebisho pale inapostahili.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DK.SHEIN AHAKIKI TAARIFA ZAKE KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA ZANZIBAR


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika foleni akisubiri zamu yake katika zoezi la Uhakiki taarifa zake katika Daftari la Kudumu la WApiga Kura Zanzibar , katika Kituo cha Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jaji.Hamid Mahmoud,(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihakiki Taarifa...

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UWEKAJI WAZI WA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA KATIKA MIKOA YOTE YA UNGUJA NA PEMBA

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuweka Wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura katika Mikoa yote ya Unguja na Pemba kuanzia tarehe 03/09/2015 hadi tarehe 07/09/2015 ili Umma uweze kupata nafasi ya kulikagua Daftari la Awali na kutoa taarifa za kufanyiwa marekebisho pale inapostahili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani