Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC YAWAKUMBUSHA WATANZANIA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KWENYE DAFTARI LA KUDUMU ZA WAPIGA KURA (VIDEO)


CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: KUHAKIKI TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Tunawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kujitokeza katika vituo walipojiandikisha ili wahakiki taarifa zao. Ambako daftari la mpiga kura limebandikwa. (Display)  NA.MIKOATAREHE YA KUANZATAREHE YA KUMALIZA1Njombe, Iringa,  Mtwara, Lindi, Ruvuma, Katavi, Rukwa, Mbeya, Dodoma, Singida, Tabora, Kigoma, Kagera, Simiyu, Shinyanga, Geita, Mwanza, Mara, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Morogoro.
07/08/201511/08/20152Pwani na...

 

5 years ago

Michuzi

SHILATU AHUISHA TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu ametumia haki yake kikatiba ya kujiandikisha kwa kuhuisha taarifa zake kwenye daftari la Kudumu la Mpiga Kura itakayompa fursa ya kidemokrasia ya kuchagua viongozi anaowataka kwenye uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani.

Afisa Tarafa Mihambwe, Emmanuel Shilatu akipigwa picha wakati wa kuhuisha taarifa zake kwenye daftari la Kudumu la Mpiga Kura Jana Mei 04, 2020.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MHAGAMA APONGEZA WANANCHI KWA KUJITOKEZA NA KUBORESHA TAARIFA ZAO KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Kelema alipofanya ziara ya kukagua zoezi la uwekaji wazi wa Daftari la Mpiga Kura pamoja na kuangalia uboreshaji wa taarifa za wapiga kura Wilayani Chemba.Sehemu ya wakazi wa Kijiji cha Kelema wakifuatilia maelezo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana,...

 

11 years ago

Michuzi

NEC yafafanua kuhusu daftari la kudumu la wapiga kura

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu, Damian Lubuva Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura linalotarajiwa kuanza hivi karibuni linamhusu kila raia mwenye sifa ya kupiga kura.Ufafanuzi huu unakuja wakati pakiwa na mawazo tofauti ya nani hasa anatakiwa kushiriki katika zoezi hilo huku baadhi ya watu wakidhani kuwa jambo hili linawahusu wale ambao hawakupata kujiandikisha kupiga kura au waliopoteza kadi au waliofikia umri wa kupiga...

 

5 years ago

Michuzi

NEC yaongeza siku za uandikishaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura Dar

Na Chalila Kubuda, Globu ya Jamii .

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza muda wa uandikishaji katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa ya Dar es Salaam.

Muda uliongezwa kwa katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura ni siku tatu ambapo zoezi hilo litaitimishwa Februari 23, 2020.

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchanguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt Wilson Charles amesema kuwa kusogezwa kwa...

 

10 years ago

GPL

UHAKIKI WA TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kujitokeza katika vituo walipojiandikisha ili wahakiki taarifa zao. Kwa mikoa…

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI


Kama inavyofahamika, chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997 na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 ya mwaka 2010, jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani kwa Tanzania Bara. Aidha, Sheria ya Kura ya Maoni imezipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar jukumu la kuendesha Kura ya Maoni kwa ajili ya kuhalalisha Katiba Inayopendekezwa. Kwa mujibu wa Katiba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani