BI. SAMIA SULUHU AHAIDI NEEMA KWA WAPIGA KURA MAJIMBO YA LIWALE NA NACHINGWEA

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Sabasaba Mjini Nachingwea kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu.
Sehemu ya wanaCCM na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu kwenye Uwanja wa Nangwanda Jimbo la Liwale.AKIZUNGUMZA na wananchi katika mikutano hiyo mgombea mwenza Bi. Samia Suluhu alisema licha ya ilaya ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
BI. SAMIA SULUHU AHAIDI NEEMA KWA WAKAZI WA MUSOMA MKUTANO WA KAMPENI


Alisema Serikali itakayoundwa na CCM imepanga kujenga maeneo ya kisasa ya maegesho ya meli (magati) Musoma na...
10 years ago
Michuzi
BI. SAMIA SULUHU AAHIDI NEEMA KWA WAKAZI WA MUSOMA MKUTANO WA KAMPENI...!

Alisema Serikali itakayoundwa na CCM imepanga kujenga maeneo ya kisasa ya maegesho ya meli (magati) Musoma na...
10 years ago
Vijimambo06 Sep
BI. SAMIA SULUHU AHAIDI KUDHIBITI WIZI WA DAWA HOSPITALI ZA SERIKALI



10 years ago
Michuzi
BI. SAMIA SULUHU AHAIDI UMEME KILA KIJIJI RUVUMA, VIWANDA VYA MAHINDI NA KAHAWA

Bi. Samia Suluhu ambaye amehutubia mikutano mitatu katika majimbo mawili ya mkoa...
10 years ago
Vijimambo
BI. SAMIA SULUHU AHAIDI UMEME KILA KIJIJI RUVUMA, VIWANDA VYA MAHINDI, KAHAWA

Bi. Samia Suluhu ambaye amehutubia mikutano mitatu katika majimbo mawili ya mkoa...
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Mgombea Mwenza Urais CCM ahaidi neema kwa wajasiriamali Dar
MGOMBEA mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu amesema ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imetenga kiasi cha fedha kitakachotumika kama dhamana ili wajasiliamali mbalimbali wa jijini Dar es Salaam waweze kudhaminiwa kwenye mabenki na kupewa mikopo ili kuendeleza biashara zao.
Bi....
10 years ago
Vijimambo
MGOMBEA MWENZA WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) SAMIA SULUHU HASSAN AWANADI WAGOMBEA UBUNGE WA MAJIMBO YA MKOA WA KILIMANJARO





10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI LINDI MJINI, NACHINGWEA NA LIWALE
10 years ago
Habarileo15 Sep
Samia aahidi neema kwa walima korosho
ILANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa awamu ya tano ya Serikali, imejipanga kuweka bei nzuri na ya uhakika kwa wakulima wa korosho na ufuta nchini. Hayo yalisemwa mjini hapa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan.