BI. SAMIA SULUHU AHAIDI UMEME KILA KIJIJI RUVUMA, VIWANDA VYA MAHINDI NA KAHAWA

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (katikati) akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini, Martin Mtonda (kushoto) na mgombea udiwani wa CCM.MGOMBEA mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu ameanza ziara yake mkoani Ruvuma akiinadi ilani ya chama hicho huku akiahidi neema kwa wakulima wa kahawa na mahindi wa mkoa huo.
Bi. Samia Suluhu ambaye amehutubia mikutano mitatu katika majimbo mawili ya mkoa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
BI. SAMIA SULUHU AHAIDI UMEME KILA KIJIJI RUVUMA, VIWANDA VYA MAHINDI, KAHAWA

Bi. Samia Suluhu ambaye amehutubia mikutano mitatu katika majimbo mawili ya mkoa...
10 years ago
Vijimambo06 Sep
BI. SAMIA SULUHU AHAIDI KUDHIBITI WIZI WA DAWA HOSPITALI ZA SERIKALI



10 years ago
Vijimambo
BI. SAMIA SULUHU AHAIDI NEEMA KWA WAKAZI WA MUSOMA MKUTANO WA KAMPENI


Alisema Serikali itakayoundwa na CCM imepanga kujenga maeneo ya kisasa ya maegesho ya meli (magati) Musoma na...
10 years ago
Michuzi
BI. SAMIA SULUHU AHAIDI NEEMA KWA WAPIGA KURA MAJIMBO YA LIWALE NA NACHINGWEA


10 years ago
Vijimambo05 Sep
SERIKALI YA AWAMUA YA TANO NI YA VIWANDA - SAMIA SULUHU



10 years ago
Michuzi05 Sep
Serikali ya Awamua ya Tano ni ya Viwanda - Samia Suluhu Hassan



10 years ago
MichuziMwijage azindua mradi wa umeme uliobuniwa na wananchi kijiji cha Lilondo mkoani Ruvuma
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage amezindua mradi wa umeme wa kiasi cha kilowati 40 uliobuniwa na wananchi katika kijiji cha Lilondo, wilaya ya Songea Vijijini, mkoani Ruvuma ambapo jumla ya nyumba 100 zimeshafaidika kwa kuunganishwa na huduma ya umeme.
Akiwa ameambatana na mbunge wa Jimbo la Peramiho ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama, Naibu waziri Mwijage, alitembelea na kukagua mitambo pamoja na...
10 years ago
GPL
VETA YAKUTANA NA WADAU WA VIWANDA VYA UMEME NA MAGARI KUJADILI KUHUSU MRADI WA MAFUNZO YANAYOTOLEWA NA VETA KWA KUSHIRIKIANA NA VIWANDA
10 years ago
Michuzi
VETA YAKUTANA NA WADAU WA VIWANDA VYA UMEME NA MAGARI KUJADILI KUHUSU MRADI WA MAFUNZO YANAYOTOLEWA NA VETA KWA KUSHIRIKIANA NA VIWANDA
Mradi huo uliopo kwenye majaribio tangu kuanzishwa kwake mwaka 2011 kwa ushirikiano kati ya Hamburg Chamber of Skills Craft ya Ujerumani na VETA,unalenga kuandaa idadi kubwa ya mafundi stadi wenye ujuzi zaidi kwa vitendo kwa...