BI. SAMIA SULUHU AHAIDI KUDHIBITI WIZI WA DAWA HOSPITALI ZA SERIKALI
Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akiwaonesha ilani ya chama hicho na kuainisha mipango mizuri ambayo imewekwa katika kuimarisha huduma katika sekta mbalimbali.
Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi06 Sep
BI. SAMIA SULUHU AHIDI KUDHIBITI WIZI WA DAWA HOSPITALI ZA SERIKALI
![Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akiwaonesha ilani ya chama hicho na kuainisha mipango mizuri ambayo imewekwa katika kuimarisha huduma katika sekta mbalimbali.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_01201.jpg)
![Meya wa Ilala Jerry Slaa ambaye pia ni mgombea ubunge CCM Jimbo la Ukonga akizungumza katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0279.jpg)
![Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam jana.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0409.jpg)
10 years ago
Habarileo29 Nov
BRN kudhibiti wizi wa dawa za serikali
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema baada ya kuingizwa katika Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) itadhibiti wizi wa dawa za serikali kwa kuweka alama ya GT (Government of Tanzania) katika dawa zote.
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/--3urErrP8Ok/VgywlXnvLEI/AAAAAAAAESI/uTxzLBFt--s/s72-c/IMG_0109.jpg)
BI. SAMIA SULUHU AHAIDI NEEMA KWA WAKAZI WA MUSOMA MKUTANO WA KAMPENI
![](http://1.bp.blogspot.com/--3urErrP8Ok/VgywlXnvLEI/AAAAAAAAESI/uTxzLBFt--s/s640/IMG_0109.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-i5FEL-0gMus/VgywlD9DmvI/AAAAAAAAESE/pdzemGRg3PA/s640/IMG_0132.jpg)
Alisema Serikali itakayoundwa na CCM imepanga kujenga maeneo ya kisasa ya maegesho ya meli (magati) Musoma na...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-pXVEO6-wbLU/VfdFckmW1MI/AAAAAAAADzE/YeZ0oZIuxkw/s72-c/IMG_0008.jpg)
BI. SAMIA SULUHU AHAIDI NEEMA KWA WAPIGA KURA MAJIMBO YA LIWALE NA NACHINGWEA
![Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Sabasaba Mjini Nachingwea kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0071.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-pXVEO6-wbLU/VfdFckmW1MI/AAAAAAAADzE/YeZ0oZIuxkw/s640/IMG_0008.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-25EmVN5QQJ4/Ve-RsfOuELI/AAAAAAAADR0/23M2wGRluTk/s72-c/IMG_0181%2B%25281%2529.jpg)
BI. SAMIA SULUHU AHAIDI UMEME KILA KIJIJI RUVUMA, VIWANDA VYA MAHINDI, KAHAWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-25EmVN5QQJ4/Ve-RsfOuELI/AAAAAAAADR0/23M2wGRluTk/s640/IMG_0181%2B%25281%2529.jpg)
Bi. Samia Suluhu ambaye amehutubia mikutano mitatu katika majimbo mawili ya mkoa...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-25EmVN5QQJ4/Ve-RsfOuELI/AAAAAAAADR0/23M2wGRluTk/s72-c/IMG_0181%2B%25281%2529.jpg)
BI. SAMIA SULUHU AHAIDI UMEME KILA KIJIJI RUVUMA, VIWANDA VYA MAHINDI NA KAHAWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-25EmVN5QQJ4/Ve-RsfOuELI/AAAAAAAADR0/23M2wGRluTk/s640/IMG_0181%2B%25281%2529.jpg)
Bi. Samia Suluhu ambaye amehutubia mikutano mitatu katika majimbo mawili ya mkoa...
9 years ago
MichuziMSD kuweka nembo za Serikali kwenye dawa zake, wizi wa dawa kudhibitiwa
Katika kulitekeleza hilo, Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD),Cosmas Mwaifwani aliagizwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando kwa niaba ya Rais, kuhakikisha kuwa dawa zote za Serikali zinakuwa na utambulisho...
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Serikali kudhibiti wizi haki za wasanii
SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, imeweka mikakati ya kudhibiti haki za kazi za wasanii wa muziki na filamu za Tanzania. Hayo yalisemwa bungeni juzi na waziri...
9 years ago
Vijimambo05 Sep
SERIKALI YA AWAMUA YA TANO NI YA VIWANDA - SAMIA SULUHU
![Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Kawe Kata ya Msasani kwenye viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/Namanga-1.jpg)
![Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni wa kwenye Viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_1124.jpg)
![Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akimtambulisha mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Kawe, Kippi Warioba (kushoto) katika mkutano wa kampeni wa kwenye Viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_1156.jpg)