Wanafunzi watakiwa kusoma kwa malengo
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), Jacqueline Mneney, amewataka wanafunzi nchini kusoma kwa malengo ya kutimiza ndoto zao za baadaye. Amesema ikiwa kila anayesoma ataondokana na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi19 Jul
SAIKOLOJIA : je, Unajua kurekebisha mtindo wako wa kusoma kufuatana na malengo yako ya kusoma?
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Tuwasaidie watoto wetu kusoma kwa malengo
11 years ago
MichuziOEF yaendelea na mpango wa kuwawezesha wanafunzi kusoma kwa njia ya elektroniki
10 years ago
Dewji Blog03 Dec
Uwezo wa vyuo vikuu kuchukua wanafunzi wa sayansi bado changamoto kwa Tanzania kutimiza malengo ya EFA
Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi nchini Tanzania Mh. Dkt. Shukuru Kawambwa akifungua mkutano wa kimataifa wa kutathmini mafanikio na changamoto za utekelezaji wa malengo ya Mpango wa Kimataifa wa Elimu kwa Wote-EFA uliofanyika jijini Dar Es Salaam ambapo amesema tangu mwaka 2000 Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuelekea kutimiza malengo ya Mpango huo ikiwa ni utashi wa kisiasa na kuwajibika vikisaidiwa na kujitolea kwa wadau wa sekta ya elimu pamoja na washirika wa maendeleo.(Picha...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/DSC_0341.jpg?width=650)
UWEZO WA VYUO VIKUU KUCHUKUA WANAFUNZI WA SAYANSI BADO CHANGAMOTO KWA TANZANIA KUTIMIZA MALENGO YA EFA
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Wanafunzi waaswa kusoma sayansi
Na Patricia Kimelemeta, Muleba
WANAFUNZI wametakiwa kupenda kusoma masomo ya sayansi waweze kupata fursa ya ajira wanapomaliza masomo yao, jambo ambalo linaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira nchini.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana alikuwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyakatanga wilayani Muleba wakati wa kukabidhi kompyuta zitakazotumika kwa ajili ya masomo ya sayansi.
Alisema hatua hiyo itawasaidia kuingia kwenye soko la ushindani wa...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Wanafunzi 9,000 Karagwe hawajui kusoma
ZAIDI ya wanafunzi 9,000 wilayani Karagwe hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu. Hali hiyo imebainika kutokana na utafiti uliofanywa na halmashauri ya wilaya hiyo mwaka jana. Ofisa Elimu Shule za Msingi,...
10 years ago
Mwananchi16 Feb
Wanafunzi 430 hawajui kusoma wala kuandika
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Matatizo ya wanafunzi si lugha mbili, ni kutotaka kusoma