Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OEF yaendelea na mpango wa kuwawezesha wanafunzi kusoma kwa njia ya elektroniki

Mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Tusiime, Naomi Shija akifurahia kompyuta ya kiganjani (tablets), aliyokabidhiwa na Mwanzilishi wa Opportunity Education Foundatio (OEF), ya Marekani, Joe Rickehs, katika uzinduzi wa mpango wa kuwawezesha wanafunzi kusoma kwa njia ya elektroniki shuleni hapo, ambapo OEF imeipatia shule hiyo kompyuta hizo 100. Nyuma wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Tusiime, Albert Katagira na walimu wa shule hiyo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi watakiwa kusoma kwa malengo

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), Jacqueline Mneney, amewataka wanafunzi nchini kusoma kwa malengo ya kutimiza ndoto zao za baadaye. Amesema ikiwa kila anayesoma ataondokana na...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA KATAVI AFUNGUA MRADI WA KUSOMA KWA NJIA YA MTANDAO MKOANI MWAKE

Mkuu wa Mkoa wa Katavi,Dkt. Rajaub Rutengwe (mwenye suti katikati walioketi) akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa UNHCR na Halmashauri ya Nsimbo Wilaya ya Mlele mara baada ya kufungua mradi wa kusoma masomo kwa njia ya mtandao katika Sekondari ya Katumba,Mkoani humo.

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAZINDUA MPANGO MAALUMU WA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUSHIKA NAFASI ZA UONGOZI

Benki ya CRDB imezindua mpango maalum wa kuwawezesha wafanyakazi wanawake katika nyanja mbalimbali ili  waweze  kushika nafasi za uongozi.
Akizindua mpango huo katika hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela alisema, Mpango huo ni mahususi katika kuwawezesha wanawake wa CRDB Banki ili waweze kuwa viongozi katika nyanja mbalimbali pamoja na kuwafanya waweze kujiamini na kukamata fursa zilizopo.
Mpago huo ni mwendelezo wa...

 

10 years ago

GPL

PROIN PROMOTION YAZINDUA MPANGO WA KUUZA FILAMU ZAKE KWA NJIA YA MTANDAO

Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza akizungumza jambo kwenye uzinduzi wa  mpango wa kuuza filamu zake kwa njia ya mtandao. Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akizungumza jambo kwenye hafla fupi iliyoandaliwa na Proin Promotion kwa ajili ya kuzindua mpango wa kuuza filamu kupitia njia ya mtandao.… ...

 

10 years ago

Michuzi

PROIN PROMOTION YAZINDUA MPANGO WA KUUZA VILAMU ZAKE KWA NJIA YA MTANDAO

Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akizungumza jambo kwenye hafla fupi iliyoandaliwa na Proin Promotion kwa ajili ya kuzindua mpango wa kuuza filamu kupitia njia ya mtandao. 

Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akizindua rasmi mpango wa kuuza filamu zake kwa njia ya mtadao wa kwanza kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi Joyce Fissoo pamoja na Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza(wa kwanza...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAZINDUA MPANGO MAALUM WA KUTOA MAONI KWA NJIA YA "QR CODE"

Benki ya CRDB imezindua mpango maalumu wa kuwasilisha maoni ya mteja kwa njia ya QR Code. Akizindua mpango huo Mkurugenzi wa Mawasiliano wa benki hiyo, Tully Esther Mwambapa alisema, Njia hiyo itamwezesha mteja kutoa maoni kwa Benki bila usumbufu wowote na kwa muda mfupi sana. 
"Anachotakiwa kufanya mteja ni kuscan kwenye QR Code kwa kutumia simu yake ya smart ambayo imeunganishwa na internet, Mteja atafungua camera ya simu yake na kuscan kwenye QR Code ambazo zinapatikana kwenye matawi yote...

 

10 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA UMATA LABUNI NJIA ZA KUBORESHA USAFI KWA WANAFUNZI HUKO DODOMA

Mwanafunzi Alfred Hamisi wa Shule ya Msingi Chidilo Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma akinawa mikono kwa kutumia vibuyu chirizi ambavyo vimetolewa na Shirika la Usafi wa Mazingira Tanzania (UMATA) katika shule mbalimbali kwa ajili ya kunawa baada ya kutoka chooniPicha kwa hisani ya K-VIS Blog

 

10 years ago

Mtanzania

Wanafunzi waaswa kusoma sayansi

kinanaNa Patricia Kimelemeta, Muleba
WANAFUNZI wametakiwa kupenda kusoma masomo ya sayansi waweze kupata fursa ya ajira wanapomaliza masomo yao, jambo ambalo linaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira nchini.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana alikuwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyakatanga wilayani Muleba wakati wa kukabidhi kompyuta zitakazotumika kwa ajili ya masomo ya sayansi.
Alisema hatua hiyo itawasaidia kuingia kwenye soko la ushindani wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi 9,000 Karagwe hawajui kusoma

ZAIDI ya wanafunzi 9,000 wilayani Karagwe hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu. Hali hiyo imebainika kutokana na utafiti uliofanywa na halmashauri ya wilaya hiyo mwaka jana. Ofisa Elimu Shule za Msingi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani