Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUU WA MKOA WA KATAVI AFUNGUA MRADI WA KUSOMA KWA NJIA YA MTANDAO MKOANI MWAKE

Mkuu wa Mkoa wa Katavi,Dkt. Rajaub Rutengwe (mwenye suti katikati walioketi) akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa UNHCR na Halmashauri ya Nsimbo Wilaya ya Mlele mara baada ya kufungua mradi wa kusoma masomo kwa njia ya mtandao katika Sekondari ya Katumba,Mkoani humo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO MKOANI KATAVI

Hatimaye mafunzo ya matumizi ya mfumo wa huduma ya leseni kwa njia ya mtandao yaani Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP) kwa wachimbaji madini mkoani Katavi yamemalizika.  Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyikia kwenye ukumbi wa mikutano wa Idara ya Maji, mjini Mpanda na kuhudhuriwa na wachimbaji wadogo wa madini kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa huo yakiwa yamelenga kuwapatia uwezo wachimbaji madini wa kuutumia mfumo huo. Akizungumza kwa niaba ya Kamishna Msaidizi wa Madini...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AZINDUA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA 60 ZA NHC WILAYANI MLELE MKOANI KATAVI LEO




 Katibu Mkuu wa CC,Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe na kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa nyumba 60 za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),katika kijiji cha Inyonga ndani ya Wilaya Mpya ya Mlele mkoani Katavi mapema leo jioni.
========  ======  =====

KATIBU Mkuu wa CCM amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kwa kasi ya ujenzi miradi ya nyumba za makazi na biashara kwenye miji mbalimbali hasa makao makuu ya wilaya mpya.
Kinana aliyasema hayo katika mji wa Inyonga...

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA TABORA AHAMASISHA ULINZI SHIRIKISHI MKOANI MWAKE

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda akiongoza mafunzo ya ulinzi shirikishi kwa vijana wa Mkoa huo,yaliyofanyika leo tarehe 20.06.2014 katika shule ya msingi Idudumio iliyopo tarafa ya Nyasa wilaya ya Nzega. Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda akikabidhi zawadi mbali mbali kwa vijana walioshiriki kwenye Mafunzo ya Ulinzi Shirikishi.

 

9 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO MKOANI KIGOMA

Hatimaye mafunzo ya huduma ya leseni kwa njia ya mtandao kwa wachimbaji madini mkoani Kigoma yamemalizika. Mafunzo hayo yamehudhuriwa na wachimbaji madini zaidi ya mia moja.
Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo, Afisa Madini Mkazi- Kigoma, Adam Juma aliwataka wachimbaji madini mkoani humo kuhakikisha wanafika Ofisi za Madini-Kigoma kwa ajili ya kusajiliwa kwenye mfumo huo.
Alisema ni vyema wachimbaji hao wakafanya hivyo mapema ili waanze kutumia mfumo huo ili kwenda sambamba na kasi ya...

 

5 years ago

Michuzi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lawanasa watu 11 wanaendesha utapeli kwa njia ya Mtandao

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa 11 kwa kosa la wizi kwa njia ya mtandao. Watuhumiwa hao walikuwa wakitumia majina ya watu katika akaunti zao kwa njia ya kujipatia fedha.

Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya   Ulrich Matei amesema kuwa watuhumiwa walikuwa wanajihusisha na  wizi kwa kutumia majina ya viongozi na wasanii kwa kusambaza ujumbe wa kuomba fedha kwa watu wengine wenye mahusiano ya viongozi na wasanii.

Wanaoshikiliwa na Jeshi hilo...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA MTWARA HALIMA DENDEGO AFUNGUA MAONYESHO YA WIKI YA BAHARI DUNIANI MKOANI LEO MCHANA

 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego (wan ne kutoka kushoto), akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa maonyesho ya siku ya bahari duniani, yanayoadhimishwa kitaifa mkoani Mtwara. Maonyesho hayo yatafanyika kwa siku tatu katika viwanja vya Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA), Mkoani Mtwara.  Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego (wa kwanza kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Navigation kutoka Jeshi  la Wananchi Tanzania, Meja Joseph Mjema ,wakati akitoa maelezo ya namna ramani...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi atembelea ofisi za Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA)

 Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue (wanne Kushoto) akifuatilia kwa umakini mazungumzo kwa njia ya mtandao na watu wa Kenya, alipotembelea ofisi ya Wakala wa Mafunzo kwa njia ya mtandao (TaGLa),leo jijini Dar es Salaam.

 Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue (wanne Kushoto) akifuatilia kwa umakini mazungumzo kwa njia ya mtandao na watu wa Kenya, alipotembelea ofisi ya Wakala wa Mafunzo kwa njia ya mtandao (TaGLa),leo jijini Dar es Salaam.

 Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani